Dk kawambwa ;ripot ya prof mshoro iko wapi??wajulishe na wabunge

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Wakati waziri wa miundo mbinu abatarajiwa kukutana na wanakamati wa bnunge kuelezea kuhusu atcl,ni wakati muafaka kwa dk Kawambwa kuwaleza watanzania zaidi ya million 35 ile ripoti ya tume alioiunda ikiongozwa na prof mshoro wa ardhi majibu ya ko wapi??nani walihusika kuimaliza atcl mpaka ikashindwa kuendelea kuruka ama kusimamishwa???nafikiri imefika wakati sasa rais aache kuchagua majina kwa kuangalia undugu huyu mjomba wa rais anaicost sana serikali na uchafu wake,..TRL anajua anachopata,ATCL anajua anachopata,...
jamani wale watu wa tume ya mshoro walikuwa wanalipwa

1)usd 300 daily

2)walipewa laptop kila mmoja
3)na ka kadi cha comp zain imejaa sh 400,000 alfu
4)mafuta ya sh 50,000 kila mmoja daily wakiamini watakuwa na mzunguko
5) inatisha wacha tuishie hapa bado huyuw aziri asie na adabu ataki kueleza nani walihusika na uchafu wa atcl pamoja napesa zote walizotumia....
Huyu ni mmoja wa wanaotakiwa kufukuzwa kabisa kwenye hii wizara,..ujomba nization tatizo tupu......
 
i know prof.mshoro he was my projects upervisor kule engineering mlimani kabla hajawa vc wa ardhi university, he is very credible man and very intelligent he is such an example of fine professors we have in this country, i am sure more than i can prove the report will make everything clear, for heaven sake the minister should made the report public for all to know!
 
I agree with you! The guys is a genious. We should learn to use guys like him appropiately. Akikufundisha huyu bwana ukamuelewa lazima utakuwa engineer mzuri
 
waziri anawatumia kupata ujiko kaunda tume
nakupenda tanzania!!!
 
1)usd 300 daily

2)walipewa laptop kila mmoja
3)na ka kadi cha comp zain imejaa sh 400,000 alfu
4)mafuta ya sh 50,000 kila mmoja daily wakiamini watakuwa na mzunguko
5) inatisha wacha tuishie hapa bado huyuw aziri asie na adabu ataki kueleza nani walihusika na uchafu wa atcl pamoja napesa zote walizotumia....
Huyu ni mmoja wa wanaotakiwa kufukuzwa kabisa kwenye hii wizara,..ujomba nization tatizo tupu......

Ama kweli nchi yetu inaliwa kupita kawaida - watu wanalipana mihela kiasi hicho jamani??? wamama wanajifungulia njiani vijijini - wengine wanalala chini hospitalini - oh my God - hivi nani atainusuru Tanzania????
Inakuwa ngumu kuthibiti mambo haya kwa kutunga sheria kwani watunga sheria wenyewe ndio walipanaji wakubwa - we need a president who can lead this country in the real sense of leading and not eating!!!!!
 
i know prof.mshoro he was my projects upervisor kule engineering mlimani kabla hajawa vc wa ardhi university, he is very credible man and very intelligent he is such an example of fine professors we have in this country, i am sure more than i can prove the report will make everything clear, for heaven sake the minister should made the report public for all to know!

Mimi pia huyu prof Mshoro kanifundisha pale mlimani "Engineering Mechanics" Na ukifuatilia vizuri Degree yake ya kwanza ni Aeronautical Engineering kwa hiyo ni mtaalamu sahihi katika kamati hiyo ya ATCL. Ni mtendaji mzuri na nafikiri report yake pia itakuwa nzuri, Embu aliyenayo atujuze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom