Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Wapendwa ktk bwana
habarini za saizi,najua ni vigumu kuamini lakini
hali hiyo nilioandika hapo juu imenisikitisha kuamua kuweka wazi mwenye msaada nini cha kufanya kupunguza huu uutapeli wa watoto.....
Nina dada yangu yuko muhimbili sasa wiki moja ndani ya siku saba jamani watoto 5 wamepotea kwenye chumba kile cha kuhifadhia watoto wenye matatizo yaani chumba cha joto..dada ngu akufikisha siku zake ikabidi afanyiwe operation so anakuwa anapanda juu ananyonyesha then anarudi chumbani...majuzi siku 4 zilizopita wapendwa dadangu akiwa anaenda kunyonyesha akakuta mama wawili wanalia ....alipouliza zaidi wakasema watoto wao awaonekani na manesi wamewaambiwa waje mchana kuwaangalia kama watapatikana
hali hii ilinishtua nikaenda kumjulisha uncle wangu mmoja upande wa wizara ya afya..nimeona kimya sasa limekuja la jana wandugu...dadangu akiwa anaenda kunyonyesha kwa wanaojua chumba kile wanaingia wamama wakiwa na kanga tuuuu kufunika maziwa yao
akiwa amefika pale akawa wa kwanza na wengine wawili wakija polepole akatoka dada mmoja amevaa hijabu na mbele kama amevimba....wakaanza kulizana huyu mjahidina katokea wapi....ilichukua muda kuamini jamani kumbe wizi wa watoto upo...baada ya muda aakaenda kumnyonyesha mtoto wake gafla akaja mama mmoja anatafuta mwanae..jamani alilia ukunga alilia naa maana alilia kama aamepigwa panga la shavu kule mara...baada ya muda akatollewa na nurse husika wa jana jamani.....wakamwambia aje saa kumi na moja labda ataonekana..mama akaanza kumwaga radhi
ifuatayo
wizi mwingine umefanyika jana tu jamani na mwenye kufwatilia atupe mtoto kama amepatikana ama lah!!!pale muhimbili wadi ya wa toto kuna mambo mengi sana muhimbili wanaficha
"""""""nyie nia wanga wakubwa wauwaji kabisa na nasema mwangu mtamtafuta alipoenda.....akamwaga lingine amna hata wiki mbili kuna mama mmoja amekuja pale muhimbili akazidiwa akafanikiwa kuzaa mapacha mama baada ya muda akafariki...jamani baada ya siku 2 ndugu kuuliza watoto wakaambiwa awaonekani
kwenu wapendwa mwenye uwezo wa kufikisha ujumbe huu kwa waziri husika itasaidia kiasi...
Mpaka ssasa tumeshindwa kuamini hawa watoto wanaenda wapi na kwa nini ma nesi wako pale wanalinda watoto gafla wanapotea....je ni wanachukuliwa na msukule???je ma nesi wameanza tabia yao ya kuuza watoto kama hospital ya mwananyamala????afadhali hii walikuja kujulikana hadi wafanyabiashara wanaowalipa manesi sh million moja kwa mtoto wa mtu...
Kingine kuweni makini kumekuwa na tabia ya kupewa mtoto si wako mbaya zaidi unaambiwa amekufa...huu uchafu ulikuwa ukisikika mpaka sasa mwenye uwezo wa kufwatilia tutashukuru mpaka hao watoto wapatikane
wanauzwa wanauwawa ama wanaenda wapi!!!!!!
Tuwe makini kwenye kujifungua;manesi wamekuwa nyoka wa watoto jamani.....