Nawatakia Pasaka Njema

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Katika kuelekea katika sikukuu hii ya Pasaka nawatakiwa wadau wote wa JF Pasaka njema. Make kwa amani na upendo. Natumaini yalee mambo ya Feb 14 hayatakuwepo. Make huku mkitafakari kuhusu mstakabari wa taifa letu kuelekea 2010. Mkumbuke kwanza Taifa kisha mengineyo.
Wakatabau,
Shadow.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom