Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wale wenye access na channel 4, angalieni ujasiliamali wa Kiafrika unavyofanyika katika kipindi hicho kinachoendelea sasa hv.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf, Naomba mchango wa mawazo. Ninatarajia kusafiri mwezi wa 12 kutoka Dar kwenda Mwanza(sijaenda miaka mingi sana). Kuna mtu mmoja mwenyeji wa Mwanza(hajaenda siku nyingi kidogo) anasema...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mmeinyaka hii... MBIO za kuwania ubunge na udiwani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimezidi kuonyesha vioja, burudani na ufundi wa kampeni, baada ya jana Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Dear All, Greetings from FES, Kindly be informed that the youth political dialogue will take place on 31st July 2010 at the FES Conference starting at 8:45am. The session will bring...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Wapendwa wana jamvi jana ilikuwa ni siku ya mashujaa wa tanzania,kila mtanzania mwenye damu ya kitanzania alikuwa na fursa ya kukumbuka watu muhimu waliolipigania taifa letu kiasi cha hata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni story ya kweli kabisa. Hebu fuatilia kwa faida yako. Ukiona mwenzio ananyolewa kitie maji kichwa chako. Mdogo wangu mmoja pale Dodoma anaishi na mkewe, house girl na watoto wawili. mtoto...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Jamani nina tatizo kubwa kweli naombeni msaada kama kuna anayejua namna ya kutatua; Ni hivi, mwezi wa tatu mwaka huu 2010 jumamosi moja niliamka asubuhi na kukuta sehemu ya ndevu zangu...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Huyu bwana alipata kuwa Mbunge wa Monduli wakati fulani. Lakini pia miaka yangu ya mwisho mwisho kumsikia ni pale alipokuwa DC... nadhani huko Kongwa-Dodoma. Enzi zake za Ubunge alikuwa mjenga...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
pppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yes? natumaini mumejibu 'YEAA'..hifyo ndifyo tunatharimianaga huko kwetu gisagi General saina. Sijui kwanini mama yangu arikuwaga anajua saa zote nikiwa karibu gusuria (kushuta). kira wakati...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naombeni kufahamu ukweli maana sasa huu ni upuuzi a.k.a wa hovyohovyo, wiki sasa napigwa danadana ktk kituo cha pale msimbazi na hawa wachina walioingia ubia na TBCI kusambaza hivi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale waliowahi kutazama hiki kipindi nimekuwa najiuliza maswali mengi 1.hiki kipindi kinaandaliwa nchi gani? 2.kwenye television ipi?? 3.mbona quality ni mbovu? 4.huyu sporah ni jina lake...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani wana JF, naomba kama kuna mtu anayezifahamu sababu za msingi ambazo zinapelekea kampuni za simu nchini kutouza hisa zake ktk soko la hisa '' DSE'' kama kampuni nyingine zinazouza hisa zake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna Email hii nimeipata kutoka: Synergy Textiles Limited" <job@synergytextiles.com>, ila nina wasiwasi nayo je niwatumie Details wanazotaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika jumla ya daladala 120 za jiji la Dar-es-salaam nilizopanda kuelekea maeneo mbalimbali ndani ya kipindi cha miezi 2, nimeweza kushuhudia ni daladala 15 tu zilizokuwa zikifuatilia mambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kuna haja ya kuwepo kwa barabara za juu yaani fly overs kwa jiji la dsm? au ni kutapatapa kwa mamlaka husika?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana Jamii hivi ni nani anayefanya AUDITING pale Medical Stores Department ''MSD'' nilishuhudia gari aina ya canter tani 4 ikiwa imesheheni DAWA MSETO, Ikishusha ktk nyumba ya mtu binafsi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Madada wawili majuzi wakiwa muhimbili walipoteza watoto wao samahani sijui niseme kwa uzembe ama lah..mmoja wa madada aliekuwa akilia kama amemwamgiwa maji alipoulizwa imekuwaje alisema alifika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mtapanyiko wa mafuta (diesel/ petrol) pwani yote eneo la pwani ya bandarini. Kuna speculations kwamba kuna meli imevujisha hayo mafuta ama bomba la tipper limepasuka.... Nimepiga picha kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna tetesi juu ya ujenzi wa hii barabara kwamba hautaanzia Morocco kama ilivyoelezwa hapo awali badala yake utaanzia Mwenge hadi Tegeta Wazo kwa kiwango cha njia mbili. Sababu eti kutoka Morocco...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…