Jaribuni kufuatilia hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaribuni kufuatilia hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kichenchele, Jul 26, 2010.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Katika jumla ya daladala 120 za jiji la Dar-es-salaam nilizopanda kuelekea maeneo mbalimbali ndani ya kipindi cha miezi 2, nimeweza kushuhudia ni daladala 15 tu zilizokuwa zikifuatilia mambo mbalimbali ya kijamii na kimataifa ikiwemo kusikiliza taarifa za habari na matukio mhimu, daladala 105 zilikuwa zikipiga mziki wa taarabu, na pindi abiria walipomuomba dereva abadilishe ili waweze kusikiliza taarifa ya habari au matukio mengine dereva aliwaka na kufoka na hata kuongeza sauti ya radio, hebu jaribuni kufuatilia hili
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa hio ww ulikuwa unapanda mabasi hayo mida ya taarifa za habari tuu? au ni watu wote wanapanda magari kipindi hicho tuu? yaani asubuhi saa 1 kamili saa 7 na saa 12 jioni? je ni magari yote yana radio? na mbona hukuja comment kwenye radio ambazo zinatangaza upuuzi tangu asubuhi hadi jioni? kipindi cha maana sana ni kutuma salamu kwa ndg jamaa na marafiki?
   
 3. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,778
  Likes Received: 20,697
  Trophy Points: 280
  heri nyinyi hayo mabasi yenu yana redio mnasikiliza hata muziki,huku kwetu hata redio hayana.......by the way unatumia muda gani ndani ya daladala kabla ya kushuka??
   
 4. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  natumia takribani half to 1hour to n fro my working station, monday to friday, and i sometimes take 3 to 4 commuters a day
   
Loading...