Mkipata mimba embu sikilizeni ma dk wenu wapendwa!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Madada wawili majuzi wakiwa muhimbili walipoteza watoto wao samahani sijui niseme kwa uzembe ama lah..mmoja wa madada aliekuwa akilia kama amemwamgiwa maji alipoulizwa imekuwaje alisema alifika muhimbili majuzi akakutana na dk alipompima akamwambia awezi ondoka anatakiwa alazwealipoambiwa mumewe ;akamjibu arudi haraka sana mbona ana mwezi mmoja mzimayule dada alirudi alipofika nyumbani kesho yake akaiona kutwa weee.akazidiwa mchana kumpeleka hospital kwa kweli akucuhukua dk kadhaa ikabidi decission ya haraka ifanyike afanyiwe operation na muda si mrefu mtoto akatwaliwaHuzuni kubwa sana maana baadaya muda watu walipoingia wodini wakakuta same case ma nurse wanalalamikia jamani mbona hivi...na nyiwe mijianaume embu heshimuni amwazo ya ma dk jamani mtawamaliza wake zenu na vizazi vyenu
 
ni point nzuri lakini umeiandika kwa papara na imekosa mtiririko wa kueleweka, nadhani unaweza kui-edit ilete mvuto wa kusomeka na kueleweka
 
Back
Top Bottom