Hapa umeelewa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa umeelewa nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Jul 27, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,164
  Trophy Points: 280
  Yes?
  natumaini mumejibu 'YEAA'..hifyo ndifyo tunatharimianaga huko kwetu gisagi General saina.
  Sijui kwanini mama yangu arikuwaga anajua saa zote nikiwa karibu gusuria (kushuta). kira wakati nikiinama nikama ninakaa na thende moja (rasa) hifi,mama ananiabia ..'haki wee musatha ukisuria, utajua mbimbi sio njahi..hebu kaa visuri' (yaani sit properly). hapo hapo najua nikubaya nimesikwo tena. Na je,Samani watu warikuwa wanasema ati wasungu wanafendaga mutu mwenye ananyaba na ngufu (yaani nduiiii) kuriko kunyamba na upepo (yaani suiiii njihuuuu)..ni ukweri? haya sijui

  Sasa, mugeni m~mama lafiki ya mama agakunja gutemberea mama. Kwetu kiseni (kitchen) kurikuwaga na ture tuviti moto gako na magurundumu mawiri (yaani form). Siku hiyo, mimi nirikaa fande moja, mama fande ingine na mugeni fande ya tatu yakiseni tukiota moto na kungojea ndufia ikuwe tayari tukunywe. Mara hiyo hiyo ngasikia munyambo iko karibu na murango ya thende inagonga gonga (yaani guukurwo ni usuri). haki nikafumiria .rakini ngasindwo. ngaanza ku inama inama hifi ndio nisikie kama nawesa kutoa usuri ile ya upepo(yaani silent fart). Ngainaaaama..aii ngasikia simo ya usuri haijafunguka musuri..ngainama fande hii ingine aiii ngasikia tena simo ya usuri haijafunguka musuri. Ngaona ni kubaya sasa. mama nayeye akaniabia..haki musatha usifanye hifyo mbere ya mugeni'..ngakaa musuri. Usuri sasa ikakuja na force, inataka kufunja simo...ngafunga simo mbaka ngafunga macho, ikarudi, wee ngafonea hiyo.

  Ndufia ikakuwa tayari. mama agasema tuinamise maso yetu tuobee sai. Wakienda kuombea hiyo sai..kama tumefunga maso, ngainama na ngafunguria usuri sasa..kumbe haikuwa imefunguka kabisa...igasema ...nduiiiiiiiiiiiiiiiiiii..ndo!.. Ngajua mimi kui?..kuisha!. Singetoka wakioba. Mama hapo hapo agasema akiwa kwa maombi..'na yesu uniongose ninapo warea watoto wangu kama file mbimbiria inasemaga usiweke muti sini'..nganjua mimi dead! File turisema ameeeni, mama akanirukia..akaniweka sini na kuniweka miiko mingi sana ya ******..ngafiga nduru ngimuabiaga sori sikuwa nataka..nayeye hakuwa anasikia hiyo. haki nilisapwa hata na kuni.

  Vile mama huyu mugeni aliona sasa nimeanza kujiobea sasa mungu anikaribise kwa ufarme wake nikikufa njuu ya hiyo fita...agasika mama yangu akamusihi..'mama musatha, tafasari musamehee gwasabu hakuwa anataka. Agasema 'ekwendaga gusihukia watoreka' (yaani musatha arikuwa anataka gutoa munyabo ya upepo..ika backfire). Haki hata kama nirikuwa nimeona maraika sasa wakinikunjia wanibebe niende sayuni....niriseka sana vile huyo mama alisema hayo...irikuwa funny sana.

  musi sihukie reo! sawa?

  asandeni sana
   
Loading...