Tbci na ving'amuzi vya kichina

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Wadau naombeni kufahamu ukweli maana sasa huu ni upuuzi a.k.a wa hovyohovyo, wiki sasa napigwa danadana ktk kituo cha pale msimbazi na hawa wachina walioingia ubia na TBCI kusambaza hivi videkoda,channels zote hazionekani zaidi ya TBCI tu, ukienda wanakuambia uje na master card, decorder number, etc, na wanasema baada ya 2days things will be clear, waaapiii bwana akuna kitu, niambieni tafadhali ili niweze kudai haki yangu
 
Mi wameniboa jumla, nilishaenda na docs zote hizo imeshindikana, sasa wameniambia nipeleke hiyo decoder nzima!...mchina ni kimbembe tupu!...Mradi wa TIDO huu unatesa watu!
 
Mwanzo mgumu......!Ha ha ha....ila mmepata thamani ya pesa mliyotoa....
 
Coverage ya broadband ikiongezeka ndio watalijua jiji, sasa hivi si wanaringa kwa sababu watu hawana option nyingine yenye unafuu?
 
Back
Top Bottom