Hisa za kampuni za simu

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Jamani wana JF, naomba kama kuna mtu anayezifahamu sababu za msingi ambazo zinapelekea kampuni za simu nchini kutouza hisa zake ktk soko la hisa '' DSE'' kama kampuni nyingine zinazouza hisa zake
 
Jamani wana JF, naomba kama kuna mtu anayezifahamu sababu za msingi ambazo zinapelekea kampuni za simu nchini kutouza hisa zake ktk soko la hisa '' DSE'' kama kampuni nyingine zinazouza hisa zake

mkuu tatizo ni kwamba makampuni ya sime yamekaa kisanii sanii hivi kama si utapeli design, na ndiyo sababu yanauzwa na au kubadilishwa majini kila wakati hovyo hovyo.
 
Nadhani sheria imepitishwa lazima waanze kuuza hisa kama sikosei ndani ya miaka 2 ijayo. Lakini kupitia chama chao cha MOAT wanajitayarisha kupinga. Wako hapa kutuibia sio kututajirisha.
 
Back
Top Bottom