Ukitaka kununuwa dawa za magendo nenda medical stores department ''msd'' utapata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kununuwa dawa za magendo nenda medical stores department ''msd'' utapata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kichenchele, Jul 26, 2010.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Jamani wana Jamii hivi ni nani anayefanya AUDITING pale Medical Stores Department ''MSD'' nilishuhudia gari aina ya canter tani 4 ikiwa imesheheni DAWA MSETO, Ikishusha ktk nyumba ya mtu binafsi na huku zikipakiwa tena ktk gari jingine muda mfupi baadae, sasa nashindwa kuelewa ina maana hao wahusika kweli hawajui kama dawa mseto imeibiwa?
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  pole wanajua sana tatizom hilzi dili tangu directe mapaka wa auditing wwanajua na wana pacent yao ushauriif you cant them join them tufungue ma duka ya dawa
   
 3. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  hilo nalo neno, lakini sasa wale jamaa wa Tanzania Food n Drug Authority, TFDA kupitia wizara ya afya wamekuja na mpango wao wa kuhakikisha wanafuta maduka yote ya dawa baridi na kuanzisha maduka ya dawa mhimu maarufu kama DLDM au ADDO, na hawataki yafunguliwe maeneo ya mijini ambako ndiko kuna wateja, badala yake wanataka watu wafunguwe nje ya mji kama vile kipunguni, mbande, majohe. n.k, sasa tutapata hela kweli ndugu yangu?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  ndugu akuna kinachoshindikana ;unajua huu ni mpango wa wenye njaa zao..pole usisuthubutu kufungua kipunguni nimeona sehemu walizoandaa aiko utaliwapugu sawa tegeta mwisho mbweni,bunju,na kwingineko angalia walivyo wapuuzi awa \mashartilazima sehemu iswe karibu na bar/mama ntilie/maduka ya kununulia vitu mita 300sehemu husika iwe ni 9 kwa 9 muuzaji awe n pharamasiahuuu mengine utaweza liaanyway hii ni watu kuhakikisha dawa zao zinanunuliwa ma hospitalini unajua ukiangali hata sehemu wanazosema utaona hata kuuumwa mafua uende hospital...anyway tutapambana nao ila hilo dili nakupa kama ndugu usiliache join nao ndugu yangu mmoja kajaza magari na nyumba kama cho na ni mpuuzi tu mmoja hao yeye kama dalali wa hayo madawa akipata mhusika anaweka cha juu analipwa ganji upande wa pili watu wera wera siko na maana mbaya ila kwa malezi ya baadae ya watoto wetu tunaitaji long and shortcut life
   
 5. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  ndugu yangu mimi niliweza kuhudhuria semina yao pale viwanja vya 77 kilwa road, na nilipata fursa ya kuuliza maswali, huu mpango bwana ukiuangalia kwa undani zaidi umekaa kimasirahi zaidi, upo kwa ajili ya kundi la watu fulani, wameona maeneo katikati ya mji biashara ya maduka makubwa ya dawa a.k.a Pharmacy imekuwa ni ngumu maana maduka ni mengi, sasa wanataka kuhakikisha maeneo ya karibu na miji na ambayo yana population kubwa, yabaki wazi ili wao waweze kufungua maduka hayo makubwa maana wanamitaji ya kufungua, wataweza kuwalipa hao wafamasia ambao kuacha cheti tu yaani ajira kivuli ni laki 5 kwa mwezi ukitaka aje lazima umpe na hela ya nauli.n.k sasa kwa wewe mwenye mtaji wa kuchechemea huwezi ukilazimisha ndani ya miezi 2 tu unafunga maana mtaji wote utakuwa umemlipa pharmacist, nchi hii watu wanajuwa kujitengenezea ulaji mpaka basi, mimi niliona hawa wanaoondolewa wanatakiwa kufanya hivyo ili kuwapisha wawekezaji maana ndo kauli mbiu ya siku hizi, masharti lukuki hii yote kumkwamisha mjasilia jasho tu hakuna kingine
   
Loading...