Waziri apiga magoti,atoa shikamoo akiomba kura...!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri apiga magoti,atoa shikamoo akiomba kura...!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wa mmoja, Jul 26, 2010.

 1. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #1
  Jul 26, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmeinyaka hii...
  MBIO za kuwania ubunge na udiwani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimezidi kuonyesha vioja, burudani na ufundi wa kampeni, baada ya jana Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga, kutoka na mbinu yake mpya ya kuwapigia magoti wapigakura.
  Dah!!Ebana hii kali,kweli ule mjengo una raha yake hadi watu wanapiga magoti.....!!!


  [​IMG]


  Waziri wa Maliasili na Utalii, Tanzania Shamsa Mwangunga
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Unafikiri ni wao, mapepo hayo kutoka kwa waganga wa jadi ndio yanawapelekesha, mbona wakishachaguliwa wanaota magego? :scared:
   
 3. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na watanzia walivyo wepesi kudanganyika wakipigiwa magoti ya kinafiki kama hayo wanaona wameheshimiwa na kura zote wanatoa. Kama anaheshima mbona hajawahi kupiga magoti akiwa waziri!!!! wakati wa kampeni ndo anataka kuonyesha heshima. Huu mwaka tutaona mengi..... kama mtu hafai hafai tu, kupiga magoti haisaidii
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mimi Waziri akinipigia magoti kuomba nimpigie KURA nampa KULA!
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Huyu mama hana hoja kwa kweli.
  Nitashangaa kama wananchi wa ubungo wataichagua CCM tena jimbo lile.
   
 6. kajukeg

  kajukeg Member

  #6
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio huyo mama peke yake msanii, almost 90% ya wabunge wote wa ccm waliopita hawana jipya.
  hatuna sababu ya kuwachagua tena.
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hadi siku ya uchaguzi ifike tutaona na kusikia voja vingi sana....:hail::pound::pound::pound:
   
 8. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kashindwa kuiongoza wizara ya maliasili na utalii bado anataka ubunge
   
 9. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BT hope you meant vioja:sorry:, i can imagine that SHIKAMOOOONI WANANCHIIII.......!!!!!! JAMANI NAOMBENI KURA ZENU teh teh!!!!! interesting:blah:
   
 10. R

  Renegade JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  We acha tu, hawa ndugu zetu wamezoea kutuona sisi Wadanganyika hamnazo, Mwaka huu naona hapatoshi!!!! Viroja vingi vyaja.
   
 11. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mama anapita huyo hana mpizani pesa ipo,sasa hivi wanalambisha kina mama na wazee buku tano tano, hamna cha takukuru wala nini,na wanasema wataichagua sisemi kwasababu hao wengine hawajawaona,kaaazi kweli kweli,democrasia kwa tz ipo mbali sana,
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hkyanani ukimfuata Mgombea yeyote umwakikishie kuwa atashinda, mwombe chochote kile ATAKUPA.
   
 13. D

  DrMosha Member

  #13
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Je ni kweli kuwa anaona mbali kuliko hao anaowapigia magoti?
  Akieleza hoja zake bila kupiga magoti hazitaeleweka?
  Kwa nini anahitaji sana hicho kiti kiasi cha kumpigia binadamu magoti?
  Tabia ya mtu kama huyu inatuelza nini?
   
 14. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Aache utani huyo Mwangunga kwanza atuambie lile contena lilokamatwa limejaa pembe za ndovu kule Vietnam liko wapi? na yule mjusi wetu aliyechukuliwa na hawa wenye pua ndefu ataletwa lini ktk makumbusho yetu ya Taifa? anatakiwa kufahamu watanzania wa leo siyo wale wa enzi za KINJENKITIRE NGWALE na CHABURUMA
   
 15. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Na kama yeye anaona kupiga magoti ni dili, ni yeye tu kama angekuwa na uchungu na kuguswa na umasikini wa watz angefanya kama alivyotaka kufanya Diego Maradonna yule kocha mapepe wa Argentina aliposema angetembea......... kama timu yake ingechukuwa kombe pale kwa Madiba, alete sela na si u-pompompo
   
 16. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kama anauchungu na watz afanye tu kama alivyotaka kufanya Diego Maradonna yule kocha mapepe wa timu ya taifa ya Argentina, kwamba angetembea........... kama timu yake ingechukuwa kombe pale kwa madiba, kupiga magoti tu haitoshi, aache upompompo.
   
 17. k

  kukuna Member

  #17
  Jul 27, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fisdi atatumia kila njia akukamue,ata kutambaa wanaweza kweli tutajionea mengi.
   
Loading...