Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,197
- 3,930
Huyu bwana alipata kuwa Mbunge wa Monduli wakati fulani. Lakini pia miaka yangu ya mwisho mwisho kumsikia ni pale alipokuwa DC... nadhani huko Kongwa-Dodoma.
Enzi zake za Ubunge alikuwa mjenga hoja mzuri, mteteaji na mshauri mzuri kwenye mambo ya msingi...
Je, kuna anayefahamu kwa sasa huyu Lepilal Ole Moloimet alipo na anafanya nini?