Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dunia imeisha jamani, huku tunakoelekea sasa sijui ni wapi?? mbona wote ni watoto hawa?? where is this violence coming from??:A S cry::A S cry::A S cry: Four boys in police custody over death...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna msikiti ulijengwa Nepal,Sheikh wa mskikiti aliomba serikali itoe Crane la kubeba kilele cha msikiti na akakataliwa, Budhist mmoja kwa ufedhuli, au kwa imani, alimwambia "kwa nini nyie...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tendwa anywea Send to a friend Thursday, 23 September 2010 07:58 0diggsdigg Exuper Kachenje BAADA ya kupewa karipio na Tume ya Uchaguzi (Nec) kuhusu muda wa kumaliza mikutano ya kampeni, Msajili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI WANAJAMII WOTE NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA. NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
NIMEOTA NDOTO WATANZANIA WOOTE KILA SIKU WANAFANYA MAMBO YAFUATAYO. 1. WANALIPA KODI BILA KUKWEPA, WATUMISHI WA TRA WAMEACHA TABIA ZA KUSHIRIKIANA NA WALIPA KODI WASIO WAAMINIFU KATIKA KULIPA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwalimu huyu wa St.Cornelius aitwaye Baba G,ana matatizo gani? Kwanini anaonea watoto wetu namna hii yaaani anaudhi sana...anawapiga watoto wa wetu wa kike bila sababu... Kuna kipindi alishawahi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Can i tell you something? Kuna vipaji huko mtaani! Huwa nikisikiliza nyimbo ya huyu dada nafurahi sana na kujifunza mengi! Lakini cha kuvutia zaidi ni mpangilio wa ala alizotumia, and NICE VOICE...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Intel is building anti-theft technology into hardware in a bid to make life harder for laptop thieves. The chip giant is incorporating anti-theft technology into laptops and network chip sets...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeikuta hii kwenye moja ya ofisi za serikali je sheria hii inafanya kazi kweli? Maana naona nguo za namna hiyo wadada na wakaka makazini tena serikalini wanazipiga kama kawa...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Asalaam-aleikum wana JF! Kuna ripoti kuhusu mwelekeo wa sekta ya elimu Tanzania ambayo imetolewa leo asubuhi; inajadili mambo nyeti mno, ambayo labda yatashtua wengi wetu. Dhumuni la kuileta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naleta mbele yenu kisa hiki ambacho kimenipata mimi mwenyewe. Ukipita mitaa mingi ya Dar Es Salaam kuna mabango kila mahali yanayoonyesha kwamba TTCL wanatoa huduma ya internet. Pamoja na kwamba...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Agony of Nyerere's son over Sh 4bn plot Saturday, 18 September 2010 09:40 By Bernard James Founding President Mwalimu Julius Nyerere’s adopted son is fighting the battle of his life. And...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kupitia TBC1 nikiwa naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku, niliweza kuona Jk akimnadi kwa wapiga kura waliopauka na kuonekana wamechoka na naweza diriki kusema wanamatumaini kidogo sana juu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Mkemia Ernest Mashimba, PhD amefariki ghafla huko Tanga alikokuwa amealikwa kama mgeni rasmi kwenye mahafari ya darasa la saba. Mauti yamemkuta hotelini...
0 Reactions
54 Replies
12K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa kikwete hakujali matatizo ya watz kwa kipindi chote cha miaka yake mitano aliyokaa ikulu,zaidi alifanikiwa kuzurura huko kwa wakubwa...... Dr.slaa ambaye ndiye kinara...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Gari la Pope, also known as the Popemobile, is a highly customized and very expensive vehicle that gives catholic worshiper a glimpse of their beloved leader while on tour. My question is...
0 Reactions
185 Replies
16K Views
Tangu mwanzo wa mwezi huu serikali imebadili utaratibu wa usimamizi wa kuruhusu abiria kuingia kwenye kivuko pale ferry. utaratibu huu wanasema kuwa wanakusanya takwimu zao fulani. Sasa angalia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba unipatie nambari yako ya simu kiganjani tuwasiliane tubadilishane mawazo na kujenga njia kuelekea mjengoni
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kwa ndugu zetu wataalamu wa takwimu hebu tuambiane katika nchi yenye watu milioni 45 ni sample space gani iliyo nzuri kufanya utafiti wa kupata maoni sahihi ya watu kuhusu jambo linalowagusa moja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MKEMIA Mkuu wa Serikali, Ernest Mashimba amekutwa amekufa katika chumba cha Hoteli ya Executive Lodge iliyo nje kidogo ya mji wa Lushoto mkoani hapa. Kwa mujibu wa habari zilizopatikana mjini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…