Kutosajiliwa chuo cha global college, dsm tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutosajiliwa chuo cha global college, dsm tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Somoleo, Sep 22, 2010.

 1. S

  Somoleo Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HABARI WANAJAMII WOTE

  NASHUKURU KUJIUNGA NA WANAJAMII WENZANGU ILI KULETA HOJA, ELIMU NA MABADILIKO KATIKA JAMII PALE PANAPOWEZEKANA.
  NIKIWA MMOJA KATI YA WATU WANAOPENDA MAENDELEO KIELIMU, NIMEKUJA FAHAMU KWAMBA CHUO CHA GLOBAL COLLEGE, DSM TANZANIA BADO HAKIJASAJILIWA (i.e. NACTE) WALA KUTAMBULIWA NA TAASISI YA VYUO TANZANIA.

  HALI HII INAFANYA WAHITIMU WA CHUO HICHO (i.e. CERTIFICATES AU IPLOMA GRADUATES) KUTOSAJILIWA KATIKA VYUO VINGINE (i.e. IFM, CBE, UDSM n.k.) NA PIA KUONEKANA NI WADUNI KIELIMU PALE WANAPOOMBA KAZI BAADHI YA MAENEO.
  HOJA YANGU NI KWAMBA:
  1) INAKUWAJE CHUO WANARUHUSIWA KUJITANGAZA SANA WAKATI HAKINA USAJILI.
  2) IDARA NA TAASISI ZA SERIKALI ZIPO NA ZINASHINDWA KUFUNGA VYUO KAMA HIVI? E KUNA WAHESHIMIWA WANA HISA ZAO HUKO?

  3) WATANZANIA WANALIPA ADA HAPO ILI KUSOMA LAKINI WANASHINDWA KUJIUNGA NA VYUO VINGINE WANAPOHITAJI, HUU SI WIZI!!!


  Somoleo
   
 2. bona

  bona JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  ni vizuri suala hili umeliweka ktk jukwaa hili ili ukweli utafutwe, pamoja na hayo mwanafunzi ana part ya lawama kwani, unawezaje kujisajili na chuo ambacho hakijasajiliwa? kabla hujajisajili hujafanya utafiti kidogo, pili wenye chuo wanashindwa nini kusajili kwani kuna vyuo vingi vidogo kuliko hicho vimesajiliwa, je ni lack of seriousness au kuna sababu nyingine?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,250
  Likes Received: 5,632
  Trophy Points: 280
  rushwa,,,au ujasoma somo la rushwa shule ya msingi na jinsi ya kumtumia utoke mapema kimaisha
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,054
  Trophy Points: 280
  Hii ni nchi ya kitu kidogo, au umesahau kuwa Kikwete alisema ukitaka kula lazima na wewe uliwe.
  KUDADADEKI.
   
Loading...