Muujiza uliotokea katika Msikiti nchini Nepal.

alsaidy

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
334
88
Kuna msikiti ulijengwa Nepal,Sheikh wa mskikiti aliomba serikali itoe Crane la
kubeba kilele cha msikiti na akakataliwa, Budhist mmoja kwa ufedhuli, au kwa
imani, alimwambia "kwa nini nyie hamumuombi Allah wenu akuwekeeni pale
juu"?


Usiku Sheikh akaomba na akamuota Mtume (saw) akamwambia aufunike huo
mnara kwa kitambaa cheupe, asubuhi yake yaliyotokea kama ilivyooneshwa katika video. Allahu Akbar.



http://www.youtube.com/watch?v=QofdXHUVnvY&feature=player_embedded
 
what a fake, hata america walidai na kuonyesha ndege ilipiga pentagon after few hrs hakuna aliyekuwa tayari kudhibitisha maana hata mabati na vipande vya ndege havikuwepo. This is just a bollywood or hollywood miracle. an absolute fake stuff
 
Nimeangalia hiyo yutyubu sijaona kama ni muujiza bali ni something on the progress ndo maana hata kusanyiko walikuwa hawaangalii au kutilia maanani. wanaonekana wanafanya shughuli fulani tofauti na mtoa hoja anavyotushadidiza hapa
 
Tukitegemea kuishi dunia ya miujiza, tutaingizwa mjini mpaka tukome ubishi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom