I Love This Song! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I Love This Song!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Sep 22, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Can i tell you something?
  Kuna vipaji huko mtaani!
  Huwa nikisikiliza nyimbo ya huyu dada nafurahi sana na kujifunza mengi!
  Lakini cha kuvutia zaidi ni mpangilio wa ala alizotumia, and NICE VOICE, that can drive the dragon out of her cave!,... lakini pia kwamba anaimba yaliyompata -kihalisia!..
  Iknow the lady, and i know what she has gone through!
  Chukua kama dakika 6 hv uisikilize, hasa ujumbe wake, its amazing!

  http://www.youtube.com/watch?v=5TONFmK2xVc
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Imenizingua, inasema mpaka nipate kibali cha administrator
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  :confused2::confused2::help::eek2:
  Au umeiondoa??
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sorry people...(WIP) Work-In-Progress!...In no tym you see it flowin!
   
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mbona hakuna video?
   
 6. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hata mie namkubali sana!
  nice voice,nice video!
  ujumbu mzuri!
  sasa ni nini kilichompata mpaka akaamua kuimba huu wimbo!
  pakajimmy tujulishe tafadhali!
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu nimekusoma hongera zake na mungu ambariki!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  jamani ana sura nzuri sana!inocent look!
  huu wimbo niliusikia ukipigwa praise power radio na nikatokea kuupenda hapo hapo!
  nilimsikia akihojiwa redioni akasema ameimba huu wimbo sbb amepitia majaribu mazito akiwa ktk umri mdogo!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huu ni miongoni mwa nyimbo Mchungaji lazima ziimbwe kanisani kwangu! Kanisa na waumini hubarikiwa sana kabla sijaanza kukimbiza mapepo! Mpangilio wa maneno yenye hekima na utukufu.

  "Si kwa utashi wangu,ila hakika ni kwa upendo wako, si kwa hekima zangu bali utashi wako, bali kwa uweza wako" baadhi ya maneno! Hakika huyu dada amebarikiwa sana aendelee kumsifu Mungu.

  Hata niwapo kwenye safari ndefu kweny highway huu wimbo humwongoza mchungaji

  Hakika amefanya kazi ya Mungu

  Mch Masa
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hongera zake kwa wimbo mzuri hakika jina la bwana lihimidiwe
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Hebu ngoja kwanza niusikilize tena halafu nikomenti kitu...

  Huu wimbo jamnani mbona unanifanya hivi? Hivi mbona siku hizi siusikiagi tena ukipigwa? PJ hebu nambie, huyu mwimbaji kilimpata nini? Unamjua umesema, unaweza nipa kontakti zake.......Kwa mapenzi mema jamani jamani jamani!!
   
 13. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mpwa nina mashaka na wewe toka lini ukapenda gospel!
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hivi unajua kwamba mimi ni mbunge wa upinzani kwenye ile kamati kuu ya NANIHII KULE( Ohh My God, naSHINDWA hata kutaja)... kule kwenye ..sijui Infidelity:becky:...
  Kama una swali lolote kuhusu yeye niandikie swali lako, litasomwa kwake kama swali la NYONGEZA!:becky::becky:
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Kinachonifurahisha kwenye huo wimbo, huyo mwimbaji ni mzuri kama avatar yako.....Again kwa mapenzi mema jamani jamani jamani!
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Praise the Lord!...Aksante mchungaji...Naamini congregation yako itakuwa inabarikiwa sana na pia wanapata UWEPO wa nguvu za Kimungu kila wausikiapo!
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Nasikia roho wa Mungu akinieleza kuwa nikikasikiliza haka kawimbo, kama waifu ni muumini wa infidelity ataacha mara moja! Sasa PJ acha kubana, tuma kontakti zake, nataka aje aniimbie kwenye birthday yangu hako kawimbo!
   
 18. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  LOL,mpwa umeingia choo cha walemavu angalia vizuri,umekosea jukwaa nini!
   
 19. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nakubaliana na wewe mchungaji,siku ukimuita kanisani kwako usisite kuniarifu japo sina mapepo lkn nitakuja!
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,111
  Likes Received: 24,173
  Trophy Points: 280
  Hapana jamani, lazima tuusifie uumbaji wa Mungu....Binti, mzuri, sauti nzuri, wimbo mzuri, kwanini nisiweke kambi hapa? Hebu fumba macho tuombe!
   
Loading...