Mkemia Mkuu, Ernest Mashimba is NO MORE

Nov 11, 2008
782
38
Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Mkemia Ernest Mashimba, PhD amefariki ghafla huko Tanga alikokuwa amealikwa kama mgeni rasmi kwenye mahafari ya darasa la saba.

Mauti yamemkuta hotelini alikokuwa amefikia baada ya kuanguka ghafla, habari ni kuwa kifo chake kimegundulika baada ya dereva wake kumpitia leo asubuhi kwa ajili ya kuanza safari ya kurejea DAR.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa . . . . . . .
 
Kweli duniani tuna maisha mafupi
Mungu awafariji wafiwa na kuwapa rehema zake.

Jamani tupime afya zetu kuepuka haya madhila ya kuwaaacha wapendwa wetu wajane ghafla ghafla ingawa mara nyingine kifo huja kwa wish zake tu
 
Kwa status yake kama mkemia mkuu nadhani hata maji ya kunywa alikuwa anapima kabla ya kuyatumia, these magonjwaz ya ATTACK hayana maujanja hata MSHTUKO WA KUPANDWA NA MENDE USUNGIZINI WAWEZA KUKUSABABISHIA MAUTI.
 
Ivyo vifo vya ghafla ninawasiwasi navyo.
Kama ni mapenzi ya mungu may his soul rest in peace.Amen
 
Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Mkemia E Mashimba, Phd. amefariki ghafla huko Tanga alikokuwa amearikwa kama mgeni rasmi kwenye mahafari ya darasa la saba.

Mauti yamenkuta hotelini alikikuwa amefakia baada ya kuanguka ghafla, habari kifo chake kimegundulika baada ya dreva wake kumpitia leo asubuhi kwa ajili ya kuanza safari ya kurejea DAR.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa . . . . . . .

Duh,Mola amlaze mahala pema peponi! Marehemu alikuwa amealikwa kama mzazi rasmi kwenye mahafali
ya kidato cha nne pale shule ya wasichana Kifungilo na mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga. Kinachouma zaidi ni kwamba kati ya wahitimu wa jana na binti yake alikuwemo,na marehemu alishiriki kuendesha harambee kubwa sana jana akiwa kama mzazi rasmi wa wahitimu!! kazi ya Mola!!
 
Ivyo vifo vya ghafla ninawasiwasi navyo.
Kama ni mapenzi ya mungu may his soul rest in peace.Amen
Mkuu, kwani alikuwa anaifanyia kazi ishu yoyote tata au inayowahusu vigogo?..kwanini upate shaka?

Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi!
 
Kweli duniani tuna maisha mafupi
Mungu awafariji wafiwa na kuwapa rehema zake.

Jamani tupime afya zetu kuepuka haya madhila ya kuwaaacha wapendwa wetu wajane ghafla ghafla ingawa mara nyingine kifo huja kwa wish zake tu

JK hupima afya yake na kutembea na daktari, still bado anaanguka! Anyway, Kesi ya Mungu huwa haina rufaa!
 
R.I.P Dk Mashimba............Dunia tunapita................Ni kazi ya Mungu,pole sana kwa familia kwa kuondokewa ghafla na mpendwa wao
 
duh poleni wafiwa sana

na ndugu ya emma wa kule zenji nnakupa pole sana

bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
RIP Dr Mashimba. Poleni wafiwa wote.

Maskni huyo binti. Hivi wameshamaliza mitihani? Inasikitisha sana kumpoteza mzazi tena ukiwa bado unahitaji msaada wake.
 
Bwana ametoa, bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
Apumzike kwa Amani Dr. Mashimba
 
Back
Top Bottom