Gari la Papa - Pope mobile, a distrust in God! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la Papa - Pope mobile, a distrust in God!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PlanckScale, Sep 18, 2010.

 1. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Gari la Pope, also known as the Popemobile, is a highly customized and very expensive vehicle that gives catholic worshiper a glimpse of their beloved leader while on tour.

  My question is, why would the Pope, the "Apostolic See", need such protection if he is a man of god. Put it the other way, if the pope needs a bullet proof vehicle to go around spreading the message of god, what does it say about his own belief that god is the protector, the all knowing and all power full? I mean if god can’t assure the pope a protection, then where does it leave us, the simple disciples on the lower of the hierarchy?

  All he has to do is say a prayer ask god for protection, then go out there and preach. At least that is what Jesus did (and he had plenty of enemies).

  Also, if his time to go was to come while on tour preaching, for god’s sake he should let it happen. I mean why interfering with god’s plan! Why does he go around on a bullet proof car fearing death…doesn’t he want to go to heaven and meet god? I am very confused when I see him on that protective vehicle – He sure does not BELIEVE that god can protect him against his enemy (who I would imagine are also god’s enemy)!

  My 0.2
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  The Pope has a decent schooling in not only theology but also philosophy, and therefore must know god does not exist, precisely why he wants to play demigod.
   
 3. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Every one has his own way of finding the right protection, the pope as so many a enemies and he has to use protection.

  please dont ask who are the enemies,,,,, you know them
   
 4. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Bwana Lumumba, don't you think that god should protect the pope in a godly manner? Not the bullet proof automobile that you and I depend on? Where is god's greatness? A Mercedes Benz made in Germany?
  How did god protect Jesus back in the days?
  Au mungu kamwambia papa: "the best I can do my son is get a popemobile"!
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu Mungu alimpa binadamu akili zaidi ya wanyama wengine. na akili hili anatakiwa azitumie kujilinda . Hizo akili za binadamu zinamsaidia binadamu kuyamudu mazingira na challnege za mazingira yake.

  Ndio maana viongozi wa dini hawategemi kupata chakula kama ndege. anategema sadaka . Ndio maana vile wanatoka kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine wanatumia ndege au magari. Hawaruki kama mwewe. Ndio maana hawa watumishi wa mungu hata wakiugua wanatatibiwa na madakatari.

  Kwa hizo hizo akili za mwanadamu alizopewa ambazo chanzo chake ni God. Ndio maana na huyo papa kama watumishi wengine lazima wawekewe preventive and protective measure za kibanadamu za kuwalinda.

  Elewa papa sio mungu ni binadamu kama mimi na wewe ila daraja lake la kitumishi kwa wakatoliki ni la juu. Papa anakabiliwa na chamgamoto anazobabilinana nazo binadamu yeyote na zaidi yeye ana changamoto zake nyingine uniqiue.
   
 6. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,519
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Wekeni heshima ya Mungu, God sio mungu wala god. Yaelekea pia hamjui historia ya mambo ya kiimani. Kuna manyang'au wapinga kila kitu hivyo msione Papa akijilinda
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  mjadala haunihusu bado haujanigusa nilikuwa napita tu.... :becky:
   
 8. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ushindwe katika jina la yesu kama wewe huamini uwepo wa mungu ni wewe peke yako.Usijaribu kucorrupt akili za watu wanaoamini na waliokwishajibiwa sala zao na mungu BABA katika jina lililo kuu kuliko yote YESU KRISTO.
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,898
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Katika kitabu cha Ayubu imeandikwa kuwa shetani aliruhusiwa na mungu kumjaribu mtumishi wake aliyekuwa ni mcha mungu kuliko yeyote zama zile.Na Ayubu aliweza kuyashinda majaribu yote.Lakini binadamu wa leo katika dunia hii inayotawaliwa na shetani hatuna uwezo wa kuyashinda majaribu ya shetani kama mtumishi wa mungu Ayubu alivyoshinda.Na anaweza kutokea wakala yeyote wa shetani katika umbo la binadamu na kutaka kumdhuru mtumishi wa mungu kama ilivyowahi kutokea huko siku za nyuma(kwa pope John Paul -II).Hivyo basi ni jukumu la pope na wasaidizi wake kujilinda dhidi ya maadui zao.Na ikumbukwe kuwa hata Yesu Kristo alipojaribiwa na shetani kwa kuambiwa aruke toka katika mahali pa juu alijibu kwa kusema usimjaribu bwana mungu wako.Kwa maana hiyo tunapoangalia masuala ya kiungu tusiyalinganishe na jinsi vile tunavyoyaona kibinadamu bali tuombe roho mtakatifu atuongoze.Na kwa pope kutembea bila ulinzi wowote ni sawa na kumjaribu bwana mungu.Paka Mweusi anaomba kuwakilisha.
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Asprin anamwomba mtoa mada azisome kwa makini na kuzielewa na kuzitafakari kwa kina posts za wapendwa katika bwana: mtazamaji na pakamweusi. Na Mungu ataendelea kumbariki.
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  I love this thread.
  Imeandikwa kwamba yeyote ambaye ameamua kumfuata Yesu anapaswa kuikana nafsi yake kwanza. hata Paulo alipokuwa tayari kuhudumu kama mtume alitabiriwa kwamba atapata mateso hadi kufa kwa ajili ya yesu, lakini hakuogopa wala kusitisha NIA yake wala kujiwekea ulinzi, Pia Stefano ammbaye ndp kwaanza alikuwa amepata daraja ya HUDUMA alionja kiranga cha mafarisayo na kuuawa Matendo 6: 8 - 15 inaelezea namna alivyokamatwa na ukiendelea zaidi utafahamu kifo chake kilikuwaje.
  Kwa nini nasema hivyo?

  Kwa sababu Mungu hakuweka utaratibu wa binadamu kuchaguana ktk daraja la kumhudumia. Mungu humuandaa mtu amtakaye na kumthibitisha mwenyewe. Angalizo ni pale ambapo mitume walipomchagua Mathiya kuchukua nafasi ya YUDA msaliti lakini kumbe Mungu alimwandaa dhalimu mmoja aitwaye Sauli (Paulo). Soma Matendo 1: 15 - 26 ambapo pia hao mitume walitumia maandiko kuhalalisha umbumbumbu wao dhidi ya Mungu. Kwa hivyo natangaza rasmi kwamba HAKUNA daraja la UPAPA ktk Biblia na nyie mnaomsujudia mtawala wa vatcan mnaabudu sanamu na mnafanya ubatili mtupu.

  Kiashiria kuwa siyo mtumishi wa Mungu ni kwamba ndani ya taasisi yake kuna secret societies kibao mie nafahamu moja iitwayo Opus Odei ambayo Tony Blair ni mwanachama wake. hizi taasisi ni mwiba kwa maisha ya binadamu zinaoperate kwa mtindo wa kimafia. Pia huyo papa hamwamini Mungu kuwa anaweza yote ndo maana anajilinda kwa gharama kubwa sana za kibinadamu, Pia Sijawahi mahala popote papa akilithibitisha Neno la Mungu kwa ishara na miujiza kama amri ya Yesu katika Marko 16: 15 - 18 ambapo amesema kwamba lazima waambatane na ushuhuda wa Imani yao na hawatarudhika kwa lolote lile wakimwamini.

  Wapendwa wanajukwaa wenye msimamo wa kihafidhina nawasihi mrudi ktk kupiga Magoti na kumwomba Mungu mwenye Rehema awafunilie maandiko yake mjue kama mnamwabudu yeye au la. Bila hivyo mtakuwa mnapalilia njia ya kwenda Jehanum ambapo wafu hawaombewi rehema. Yesu alisema mtu akishakufa anakutana na hukumu yake sawia akingojea ufufuo wa pili apelekwe either ziwa la moto au paradiso. Ndo maana ktk Post zangu sijawahi kumwombea marehemu apumzike kwa amani huwa ninawaombea rehema wafiwa ili Mungu awafariji.

  PAPA SIYO MTUMISHI WA MUNGU. NI MHUNI KAMA WAHUNI WENGINE WOWOTE WA CCM
   
 13. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu nisha msoma sana. Tena na bado naisoma, ila mimi siisomi kwa woga. Unajua haya mambo ya imani bila uchunguzi yana fuga ujinga.

  Kwa mfano, pale askari walipo kuja kumkamata yesu na wafuasi wake wakakimbia, je kwanini usijiulize kwanini walikimbia? yaani wewe uko na mwana wa mungu, yet you run away when the "human" soldiers come to take the son of god! I would have thought that they should have been so confident of his power and not to fear anything. Mimi nisinge kimbia maana ningeamini nothing will happen ata wa kiniua, yesu atanifufua bila shaka.

  Sasa kwasababu biblia inatuambia walikimbia inabidi tujiulize (bila woga) je Yesu alikuwa na uwezo wa miujiza hiyo? hau hizo ni stori za uzushi tuu ili kumfagilia Bwana yesu?


  Also, kuendelea kuwepo kwa wayahudi hapa duniani inatuonyesha nini kuhusu mafanikio ya kazi ya Yesu? Kama kijana huyo aliifanya kazi yake vizuri, wouldn't you think that all Jews would have converted to Christianity? But no, they are still here and they don't accept Jesus as the messiah. Was the project to sending Jesus down to earth a well-thought plan if people are still unconvinced? You know, spending 3 years preaching and performing miracles, and yet people were unconvinced?? What does this say about god's planning? Is he realy the all-knowing, all-powerful??  Kama wayahudi wa wakati wa yesu walimuona yessu akifufua waafu na bado waka baki na uyahudi wao na kumkataa yesu kama nabii, je nikweli yesu alifufua waafu? Maana kama mimi ningeona mtu anafufuliwa lazima nami ninge msujudu mfufuaji?


  Ninaweza kukupa mengi tuu ukitaka...niko tayari. Mimi nilianza kujiuliza hayo kuhusu the gospel since 1983!
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Yesu mwenyewe alikuwa anawindwa kila siku auawe na ni mara nyingi aliwatoroka mayahudi hao!...How come a rational man saying such unthinkably hopeless question!
   
 15. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Martin, you could add, it is not the Pope who asks for that kind of protection! It is his hosts. The British Government would have not allowed the Pope to parade the streets of London with the ant-papal demos unprotected. Similarly his own people, the Vatican. We all can recall what befell the late John Paul II, when that Turkish young-man shot him, ever since then we have seen governments around the world being more careful when handling papal visit. John Paul II did not die of the bullet wounds though it was fatal. God must have protected him and perhaps it goes a long way to say, " usimjaribu bwana Mungu wako"
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Imeandikwa "usimjaribu bwana mungu wako"
  Sasa kama hutaki papa awe na gari kama iyo basi wewe nenda kwa reli jilaze expecting usife kwa kuwa uu muumini mzuri wa dini.
  Ata Yesu alipojaribiwa mpaka akaitoa iyo statement angeweza timiza masharti ya shetani kwa kuwa Mungu angetuma malaika kumwokoa but hakufanya ivyo.
  Alafu kumbuka Papa pia ni raisi wa vatican so keserikali anatakiwa awe na ulinzi kama kuna threats kama zile za wanaigeria
   
 17. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hiyo pointi ya British government kulazimisha awe na protection nakubaliana nalo.

  Ila kuniambia nisimjaribu mungu, hapo siwezi. As long as vitabu vyake vinaleta utata na waumini wake kutuvurugia amani hapa duniani, nitazidi kumchunguza na kumdauti tu...
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hii thread imeletwa kuchokoa imani za watu.
   
 19. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wanaomtetea PAPA ni wapagani hawamjui Mungu.
  Mungu hakuweka himaya ya kifalme duniani ametuweka tutumike ili turithi mamlaka ya kifalme mbinguni.

  Mteteeni binadamu PAPA maana hamumjui Mungu alie hai.
  Bora waislam kuliko wahalifu wanaojificha chini ya kivuli cha ukristo.
  Someni !Wakorintho 11:1 (dare to say)
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  This is misdirection and kinda attention seeking!
  Naendelea kuzisoma threads zako, maana zina ufanano fulani...wait!
  Hvi hakuna mada nyingine kabisa za kudiscuss....anakuhusu nini huyo mtu?
   
Loading...