Halima Mdee mob number yako pls

Halima Mdee mob number yako pls

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Naomba unipatie nambari yako ya simu kiganjani tuwasiliane tubadilishane mawazo na kujenga njia kuelekea mjengoni
chuma.jpg
 
Hivi huyu dada ameolewa? Samahani lakini,inawezekana nikawa nje ya mada.
 
Hiii ni kitu bwn, hebu ni flashie hio namba ukiipata.
 
kaka Mayenga, hajaolewa huyo. si unacheki ktk picha vidole vya mkono wa kushoto vipo empty. kazi kwako.
Mnaotaka namba yake/mawasiliano ingieni katika website ya Bunge la TZ
 
Back
Top Bottom