Dr.slaa aliongoza nchi kwa niaba ya kikwete!

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,236
Ni ukweli usiopingika kuwa kikwete hakujali matatizo ya watz kwa kipindi chote cha miaka yake mitano aliyokaa ikulu,zaidi alifanikiwa kuzurura huko kwa wakubwa......

Dr.slaa ambaye ndiye kinara wa uchangiaji hoja za msingi bungeni ndiye aliyeichachafya serikali ya kikwete mpaka kufikia kusubiri slaa anasema nini ili serikali ifanye maamuzi....kwa maana hiyo watz wanaona slaa aliongoza nchi kwa niaba ya kikwete kwani kikwete akikosa ubunifu na umakini na alijaa woga ktk kuamua mambo mazitoni mpaka pale slaa alipofumua mambo mazito ndipoi kikwete alipojifanya kuchukua hatua......

Kwa hili tunaamini Dr.Slaa ndiye alikuwa kiongozi makini zaidi kipindi cha kikwete kuliko viongozi wengine wote akiwemo kikwete mwenyewe na hivyo slaa ndiye anayefaa kupewa uongozi wa nchi..
 
Haya mambo ili yawe sawa ni hadi hapo patakapokuwa na serikali ya umoja wa kitaifa kama kenya au siku watanzania watakapozinduka na kuichagua chadema lakini kama wataendelea kuweka jembe na nyundo pale kwenye nyumba nyeupe hali hii haitaisha,matanuzi palepale ,mashangingi kwa sana,kuuza rasilimali na mengine mengi.

HIMA MTANZANIA TUMIIA NAFASI YAKO KUCHAGUA MABADILIKO AU LA HALI ITABAKI KUWA AFADHALI YA JANA (Jembe na nyundo)
 
Nimesema kwa niaba yako pia wewe unayeichukia ccm.......................unaipenda mdomoni lakini moyoni unaichukia ..............mdomo wako unakula pilau na pombe za kienyeji unazonunuliwa na ccm kila baada ya miaka mitano........moyo wako unasikitika kwa wewe kukubali kurubuniwa wakati mwenyezi mungu amekupa uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo................pole sana ila hili ndilo tatizo kubwa la ukweli kwamba ukweli unauma kuliko kitu kingine chochote duniani
karibu tujenge nchi kupitia kwa dr.slaa
ni kwa mtazamo wako?
 
Watu ni nani vile?.........mi nilidhani hata wewe ni mtu kwa hiyo umo kwani umeongozwa na dr.slaa kwa miaka mitano ambayo jk alionesha kuwa kiongozi dhaifu kabisa...........au unaamini yale ya ccm kuwa nchi ina wenyewe na wenyewe ni wao?
duh mambo mengine ni kuwatafuta watu ugomvi, mie simo
 

Unachokisema ni Kweli Kabisa. Sawli linalonisumbua ni Watanzania Wangapi Wanajua Hili. Tutafanyaje Wajue Hili Kabla ya Uchanguzi. Ili wanapopiga kura wawe wakijua wanachokifanya. Inaniuma sana, ninapoona watanzania wenye dhiki, wagonjwa waliokosa matibabu, wenye watoto wanaosoma vyuo vikuu ambavyo elimu sasa ni ya kuchakachua (maana walimu ni wa kuokoteza na waliokata tamaa) wakijikusanya kumsikiliza JK. Mimi sina chama, lakini ninawashangaa ndugu zangu watanzania wanaangaika na vyama.
 
Tatizo wanaangalia sura labda...........................
unachokisema ni kweli kabisa. Sawli linalonisumbua ni watanzania wangapi wanajua hili. Tutafanyaje wajue hili kabla ya uchanguzi. Ili wanapopiga kura wawe wakijua wanachokifanya. Inaniuma sana, ninapoona watanzania wenye dhiki, wagonjwa waliokosa matibabu, wenye watoto wanaosoma vyuo vikuu ambavyo elimu sasa ni ya kuchakachua (maana walimu ni wa kuokoteza na waliokata tamaa) wakijikusanya kumsikiliza jk. Mimi sina chama, lakini ninawashangaa ndugu zangu watanzania wanaangaika na vyama.
 
sio kwamba sisi tunampa ila ni kwamba kikwete alikuwa dhaifu na hivyo mambo mengi alisubiri slaa aseme ndipo ajifanye kuchukua hatua...............hivi kipindi cha miaka yote mitano ulikuwa wapi ndugu wakati haya yote yanafanyika.............????????????
hiyo sio sababu tosha ya kumpa ws nchi hii.
 
tehe....tehe.....tehe............teeeeeeeeeeeee....te...te......te......te,,,,,,minda aisee
sitaki kuwa kama kiranga!
kumbe kikwete asingekuwa dhaifu; leo hii dr ws angekuwa hafai kabisa kuongoza nchi hii.
 
It is known, wala hahitajiki kupata shehe, mchungaji wala nabii kujua kuwa nchi kwa miaka mitano iliongozwa kwa dr Slaa. Kama kweli jukumu la uongozi wa juu wa taifa ni kutetea maslahi ya wananchi, basi dk has done it well than Kikwete
 
sitaki kuwa kama kiranga!
kumbe kikwete asingekuwa dhaifu; leo hii dr ws angekuwa hafai kabisa kuongoza nchi hii.
Ndio, sio tu alikuwa, bali ni dhaifu kabisa, kiuongozi na kiaf.. hukumbuki ya kuwa mamilioni ya watu walishuhudia jangwani?:eyeroll2:
 
wengi hawaamini haya nashangaa ikiwa bado kuna watz ambao wanakubali kuendelea kuongozwa na viongozi dhaifu na mtandao uliojaa na kunuka RUSHWA ya mapapa na nyangumi yaani ccm na viongozi wake wakuu akiwemo kikwete
Ndio, sio tu alikuwa, bali ni dhaifu kabisa, kiuongozi na kiaf.. hukumbuki ya kuwa mamilioni ya watu walishuhudia jangwani?:eyeroll2:
 
this is the truth na hata wana ccm ninaoongea nao wanamkubali slaa kwa vitendo japo wanamkubali kikwete kwa maneno na wameahidi kumpigia kura slaa.........wameendelea kuandamana na kikwete kwenye mikutano yake ili asiaibike na ajue wapo pamoja naye wakati mioyo yao ipo mbali na kikwete.........tuanze leo kujenga nchi kwa kuchagua kiongozi atakayesimamia maslahi ya taifa letu
It is known, wala hahitajiki kupata shehe, mchungaji wala nabii kujua kuwa nchi kwa miaka mitano iliongozwa kwa dr Slaa. Kama kweli jukumu la uongozi wa juu wa taifa ni kutetea maslahi ya wananchi, basi dk has done it well than Kikwete
 
Back
Top Bottom