The most ironic sample space ever

The most ironic sample space ever

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Kwa ndugu zetu wataalamu wa takwimu hebu tuambiane katika nchi yenye watu milioni 45 ni sample space gani iliyo nzuri kufanya utafiti wa kupata maoni sahihi ya watu kuhusu jambo linalowagusa moja kwa moja?????Au tunataka kuuza magazeti yetu au tunataka kuvuta traffic katika tovuti zetu ila hapa kuna tatizo.Asije akatokea mtu akachukua ukoo wake akafanya utafiti akaleta findings na sample space ya watu 50 akasema ni utafiti.

Tanzania vichekesho vimezidi.Comedies in every political sphere.Hadi kwa statisticians????
:violin:
 
attachment.php
DSC_0545.jpg
 
Back
Top Bottom