JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,907
- 3,261
Katika hali isiyokuwa ya kawaida taasisi nyeti ambayo imepewa dhamana ya kusimamia na kukusanya mapato nchini(TRA) leo imelazimika kusitisha huduma kwa muda mrefu kutokana na kukosekana kwa diesel ya kuendeshea generator inayozalisha umeme katika jengo la TRA, (Mapato House).
Hali hii imesababisha usumbufu mkubwa sana kwa watu tunaohitaji huduma katika taasisi hii. Huu ni uzembe ambao serikali haiitaji kufumbia macho
Hali hii imesababisha usumbufu mkubwa sana kwa watu tunaohitaji huduma katika taasisi hii. Huu ni uzembe ambao serikali haiitaji kufumbia macho