nataka kuishtaki serikali na tanesco.wana jf mnishauri nianzie wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nataka kuishtaki serikali na tanesco.wana jf mnishauri nianzie wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Dec 30, 2010.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nimefikiria hili jambo nimeona kama ninaweza nikafungua kesi dhidi ya serikali na tanesco ili watueleze wamiliki wa dowans kama mtikila aliweza kufungua kesi ya kikatiba na ikamuendesha mpaka aliyekuwa jaji mstafu iwe mimi tena kudai haki yetu
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  hapa awatakupa jibu sahihi
  Nenda


  TANESCO
   
 3. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,222
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kama utakuwa unadai haki yetu wote ninakuunga mkono ila kama unadai haki yako peke yako basi sipo pamoja na wewe.mimi vile vile ninauchungu na ndugu zangu wa tanzania.embu fikiria hivi sasa serikali imesaini kuilipa dowans na richmod.hivi unadhani watanzania wamefurahi?nadhani hawajafurahi ila hawajui wafanye nini.
   
Loading...