Kaburi la kiyeyeu limeondolewa

Kaburi la kiyeyeu limeondolewa

mbombongafu

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
61
Reaction score
3
Hii discussion nakumbuka alianzisha bujibuji kwamba kuna mtu kajitokeza kutoa lile kaburi lenye maajabu ktk njia ya iringa mbeya, taarifa ya habari ya tbc ni kwamba kaburi limeondolewa na hakuna chochote kilichotokea, nimeikuta habari mwishoni sikujua kaliondoa nani.ila habari ndio hiyo hajafa mtu yoyote mambo ya imani hayaaa dah.
 
kwa wengine hakuna tatizo ila huwezi juwa kwa wale walioshiriki wawezaona wanatokewa na mambo ya ajabu ingawa hatujui au huenda yakutokea yatafuata!.
 
Hivi kuna watu walikuwa wanaamini "the so called miujiza ya hilo kaburi"?
 
Habari njema!
Kweli Mungu hana mpinzani ukimwamini.

kwasasa kuna maswali mengi yanapaswa kujibiwa, je ni kweli awali lilikuwa limeshindikana kuondolewa au wenye eneo walikuwa hawajalipwa?. Aliyeliondoa ni ngeleja au pombe?.............................
 
Back
Top Bottom