vicenttemu
Member
- Nov 16, 2010
- 44
- 1
Mgonjwa kafanyiwa upasuaji, mkasi ukasahaulika mwilini. Taarifa zinasema mgonjwa amefariki. Mwaka juzi mwinine alipasuliwa kichwa badala ya mguu the same hospital! Inasikitisha sana. Najiuliza hivi kweli hospital zetu zina wataalamu wa ukweli au nimnini. ..... Uzembe huu na mwingine kama hiyo hadi lini?