Happy new year 2011

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Japo hatujauona bado 2011 nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kutufikisha siku ya leo pia kuwapongeza wanaJF wote kufika siku ya leo, naomba muungane nami kumuomba Mwenyezi Mungu atuwezeshe kuuona na kuufikia mwaka 2011 kwa amani, upendo na furaha. Nani ajuae, yote ni majaliwa.

Basi mburudike na wimbo huu, Akhsanteni........

''http://www.youtube.com/v/dcLMH8pwusw?version=3''
 
Back
Top Bottom