Mtoto aliyeibwa aokotwa uchochoroni akiwa ndani ya boksi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto aliyeibwa aokotwa uchochoroni akiwa ndani ya boksi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Dec 31, 2010.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  MTOTO Twaha Masoud, mwenye umri wa miezi mitano, ambaye alipotea kwa njia ya kuibwa ameokotwa akiwa ndani ya boksi lililotupwa uchochoroni karibu na nyumba aliyokuwa akiishi na wazazi wake akiwa hai huko Mtoni.
  Taarifa hii ilitolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Missime, ofisni kwake na kusema, mtoto huyo aliwekwa kwenye boksi na kutupwa uchochoroni na mtu ambaye hajafahamika hadi taarifa hii inatolewa.

  Kamanda Missime alisema, mtoto huyo alitambuklwia baada ya kuonekana linacheza na wapiti njia wa eneo hilo na kulifungua ndipo walipomkuta mtoto huyo na baadae bi. Fatuma Hamis alipotakiwa amuangalie mtoto huyo alimtambua kuwa ndiye mwanae aliyeibiwa siku mbili nyuma.

  Hata hivyo Missime alisema mama huyo alikabidhiwa mtoto huyo na juhudi za kumsaka mtuhumiwa bado zinaendelea.
   
 2. K

  Kalila JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli dunia imekwisha
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huyu akikamatwa apewe adhabu kubwa na liwefundisho kwa wengine wenye tabia hizi.

  Huu ni unyama wa hali ya juu sana,
   
 4. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  thank God to rescure the infant. praised be your mighty name, for ever and ever. amen
   
Loading...