Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je hukumu dhidi ya Liyumba leo inaweza kuwa ya pili baada ya kusota gerezani kwa muda mrefu tu kutokana na kunyimwa dhamana?Je kesi hii ina 'mengine binafsi' zaidi ya ubadhirifu wa fedha za...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
They stabbed and pierced the body of the young boy Simon of Trent. They have also murdered other children...The sun never did shine on a more bloodthirsty and revengeful people as they who imagine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NI WALIOKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU, MKUU WA WILAYA, POLISI WAKIRI KUPATA MAAGIZOEditha MajuraMMOJA wa mawaziri wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete anatuhumiwa kushinikiza kuachiwa kwa dhamana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeona hii makala na nikajiuliza je hali kama hii inawezekana hapa bongo au itakuwa ni uhaini? Australian Micro-Nations: Rebels Begin Home Rule After Rejecting Local Council Authorities |...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vita dhidi ya ugaidi ilianzishwa na rais George .W.Bush mwaka 2001.Katika uzinduzi wake wakati akijitayarisha kulipiga taifa la kiislamu la Afghanistan aliteleza na kusema kuwa ni Crusade. Neno...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Lake Tanganyika under threat, scientists record highest ever temperatures A section of Lake Tanganyika. Latest studies indicate it could be dying. Photo File By Paul Redfern Posted...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia suala la matumizi ya lugha katika maeneo yetu na sasa naona kuwa tumekwama kabisa. Iwe ni Kiswahili, hatukizungumzi inavyotakiwa. Na wale wanaojidai walienda shule hao ndo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jiji la dar limeanza ukarabati wake wa barabara za lami. Kama barabara ya lami ina shimo dogo, hilo shimo dogo linapanuliwa zaidi na kusawazishwa na kuwekwa kifusi badala ya kuwekwa lami...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HAKIKA maisha ni safari ndefu, mara nyingine mtu unalazimika kukubali kuwa watu tunatoka mbali nikiwa na maana kuwa mpaka unakuja kuupata utu uzima unakuwa ulishafanya mambo kibao, mazuri kwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Tumesikia kwamba mh. Pinda -Waziri mkuu wa Tz,kaondoka leo kwenda kutibiwa UK kwa wiki moja. Nadhani ziara ndefu na wingi wa kazi umemchosha sana,kwani hata mwendo miguu inaonekana sio sahihi...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
MAOFISA wa usalama wa taifa na polisi wanawahoji wanafunzi wanane wanaosoma shule moja ya sekondari kuhusu jaribio la kuulipua ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Wanafunzi hao wa shule ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu Watanzania, tuna hitaji kudai uhuru tena! Siyo uhuru wa kuji tawala wa Tanganyika wa mwaka 1961 au wa Zanzibar wa mwaka 1963 bali uhuru wa kiuchumi, Economic Independence. Kwani tulipo dai...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu alinisimulia kisa cha abiria mmoja ambaye alikanyagwa mguu na abiria mwenzake kwenye daladala lililoshona abiria. Abiria aliyekanyagwa alipoinua macho yake kuangalia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WANAFUNZI wengine wapatao wanane wa shule ya Sekondari Biafra wanashikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano maalum kuhusiana na jaribio la kulipua ubalozi wa Marekani...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Baada ya chakula cha jioni Yesu akaenda matembezi. Andrew akaenda kumtafuta Yesu,na alipomuona akasema,''Bwana,ndugu zangu wanashindwa kuelewa kuhusu ufalme. Hatuoni kama tunao uwezo wa kuanza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BY Stephen J. Dunn, If either the business or the marriage sours, you can end up in dire trouble with the IRS...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani wana JF naomba kuuliza ule mgomo wa wafanyakazi nchi nzima umeishia wapi? Kama nakumbuka vizuri baada ya mgomo ule wa kwanza kusitishwa, TUCTA walitoa siku nane za majadiliano (Kwa waziri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Meya wa jiji la mwanza atiwa mbaroni kwa mauaji ya kada uyo wa CCM
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukisikia duniani kuna vioja basi sikiliza kingine hiki. Bw. Salvatory Ndeje mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa wilaya ya Mpanda mkoani Rukwa amenusurika kifo katika jaribio lake la kutaka kujiua kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Boti mbili za maharamia zazamishwa baharini kilomita 240 kutoka pwani Dar Baroness Catherine Ashton, Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…