Many tall buildings in Africa are not built with disaster in mind
The earthquake that hit Haiti last week showed how fragile life really is.
One moment, the people of Port-au-Prince were going...
TUME ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), imeanzisha mfumo mpya wa wanafunzi kuomba kujiunga na vyuo vikuu ambapo hivi sasa wanafunzi wanatakiwa kuomba kwa kutuma ujumbe kwenda namba 15789 au kutumia...
Mimi wadau nashindwa kuelewa huyu mhandisi kawambwa anayetetea wahindi wa TRL je ana hisa pale? au ni uoga tu wa kuiogopa IMF?
Mawaziri kama kawambwa hawawezi kuiendeleza Tanzania, natoa wito...
Siku za karibuni ni rahisi kusikia kwamba "Askari wetu wamefanikiwa kuwauwa Majambazi kadhaa katika tukio la kurushiana risasi ila tunashukuru hakuna Askari aliyejeruhiwa"
Ukweli utathibitishwaje?
Hivi Serikali iko wapi ili kuweza kuhakikisha mauaji kama haya hayatokei, lini serikali imeweza kuwachukulia hatua washiriki wa mauaji kama haya? Tunajua iliwachukua muda muda mrefu kwa viongozi...
Na Saed Kubenea
MABILIONI ya shilingi za walipa kodi, ambayo Edward Lowassa alishinikiza yalipwe kwa kampuni ya kutengeneza matairi ya General Tyre (GT), yameteketea.
Taarifa kutoka kiwandani...
Leo, jana na juzi nasikiliza habari za mkanganyiko uliotokea huko Ikulu, kuhusu magari ya kubebea wagonjwa yaliyokuwa yakabidhiwe na Raisi wetu siku ya Jumatatu 18/01/2010. Badala ya kupewa wilaya...
Huu ni utafiti wa kitaalamu juu ya siasa za Zanzibar na mabavu yanavyotumika kuendeleza kuvitawala visiwa hivyo chini ya CCM.
Ningelipenda mukakumbuka kuwa kushinda chaguzi ni moja ya sera ya...
Hawa watawala ni wazuri kweli katika kubuni kero. Unatoka na gari lenye sticker safi ya insurance na road licence (ambazo kila mtu anajua zinachangia ktk pato la taifa). Halafu unasimamishwa na...
Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU
Daniel Mjema,Moshi: Date::1/16/2010
MTOTO wa mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi (jina tunalo), ametiwa mbaroni na polisi kwa...
FARAJA MGWABATI, 19th January 2010 @ 11:01,
Daily News
THE Parliamentary Public Organisations Accounts Committee (POAC), has summoned the Minister for Labour, Employment and Youth Development...
Kweli jamani hivi ripoti mnayo maana mimi binafsi sijapata fulsa kuiona au sikuwa na bahati mwaka sasa unakaribia kweli siamini kama inawezekana katika zama hizi.
Mwenye ripoti hiyo naomba...
Ukiangalia mfumo wa kuendesha nchi yetu na hata vikao vya wabunge na vile vya madiwani ambao kimsingi wanaweza kuwa ni wabunge kwenye ngazi ya Halimashauri ,utaona kuna tofauti kubwa sana haswa...
Serikali ya DRC imetangaza msaada wa dola za Marekani 2.5mil ili kuweza kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililogharimu maisha ya watu zaidi ya laki mbili. Hata hivyo hatua hii ya Congo imezua...
Wadau nisaidieni katika hili kwani linanitatiza sana,Hivi ni kweli kwamba siasa ni ajira inayoendana na ukoo?Kwani mara nyingi naona kina Kennedys,Bushs,Kenyattas,Kikwetes,Kabilas...
WADAU KUNA MJADALA UNAENDELEA KUHUSU SHERIA MPYA ZA MAWASILIANO YA SIMU NA POSTA...KAMA KUNA MDAU MWENYE DETAILS ZA MUSWAADA ATUPATIE....NIMEPATA VIPENGELE VIWILI AMBAVYO VIMEKUWA MOTO KATIKA...
Wakuu,
Kati ya shughuli ninazozipenda sana ni kupanda miti. Mwaka huu wa 2010 nina lengo la kupanda miti ya kivuli na matunda (hasa miembe ya asili) isiyopungua 100.
Kama Wana JF naomba...
haijulikani kama ni kweli au uongo kuwa ukiwa nyumbani mkojo haukubani ila ukitoka tu nje ya nyumba yako hazipiti dakika kumi utausikia.
mkiwa mmeongozana marafiki, mmoja akianza kukojoa, wengine...