Kwakweli hata mimi nimeshangaa sana, statement ya Katibu Mkuu jana,yeye kama mtendaji wa wizara kusema mkataba utavunjwa mwezi ujao then leo Mhe. Waziri anaikanusha na kutetea kuwa kule Msumbiji Rites wanafanya kazi nzuri sana kwanini isiwe Tz,imenifanya nikose majibu, maybe kuna tusilololijua hapa.