Identity Politics in Zanzibar and Challenges to Democratic Consolidation in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Identity Politics in Zanzibar and Challenges to Democratic Consolidation in Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MrFroasty, Jan 20, 2010.

 1. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 702
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huu ni utafiti wa kitaalamu juu ya siasa za Zanzibar na mabavu yanavyotumika kuendeleza kuvitawala visiwa hivyo chini ya CCM.

  Ningelipenda mukakumbuka kuwa kushinda chaguzi ni moja ya sera ya CCM, ambapo hufanya vyovyote hata kuuwa raiya wasio na hatia lakini ni lazima wapate ushindi.

  Kwenye utafiti huu utaona jinsi vyombo vya dola vinavyotumika kama wapiga kura na mengineyo mengi.

  Nimeona niwaleteeni hapa ili wana JF muanze kutafakari na kuchambua hali halisia ya demokrasia inavyopindishwa nchini, hususan visiwani Zanzibar.

  http://www.scribd.com/doc/25447355/Identity-Politics-in-Zanzibar-and-Challenges-to-Democratic-Consolidation-in-Tanzania
   
Loading...