Congo yatoa Tsh 3.2bil Haiti

Congo yatoa Tsh 3.2bil Haiti

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
3,288
Reaction score
793
Serikali ya DRC imetangaza msaada wa dola za Marekani 2.5mil ili kuweza kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililogharimu maisha ya watu zaidi ya laki mbili. Hata hivyo hatua hii ya Congo imezua mjadala mkubwa sana ndani na nje ya DRC, ukizingatia kuwa DRC ni nchi maskini inayohitaji misaada kibao tu. Wakuu nyie mnaonaje hii?
 
Back
Top Bottom