Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kubwajinga, Jan 17, 2010.

 1. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mtoto wa kigogo ahusishwa tukio la ubakaji hoteli ya KNCU

  Daniel Mjema,Moshi: Date::1/16/2010


  MTOTO wa mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi (jina tunalo), ametiwa mbaroni na polisi kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la kumlawiti mwanamme mmoja katika hoteli ya KNCU mjini Moshi baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.

  Mwanaume huyo alilawitiwa na wanaume watano katika chumba namba 53 cha hoteli hiyo baada ya kuwekewa mtego na mume wa mwanamke huyo ambaye pamoja na mkewe nao wameshitakiwa mahakamani.

  Mtoto wa mfanyabiashara huyo ambaye ni muuzaji maarufu wa bia na pombe kali za jumla alikamatwa juzi saa 9:00 alasiri na anatarajiwa kuunganishwa na watuhumiwa wengine watano katika kesi hiyo.

  Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Lucas Ng’hoboko jana alithibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo na kueleza kuwa kesho Jumatatu anatarajiwa kufikishwa mahakamani.

  "Tulimkamata jana(juzi) saa 9:00 alasiri na tumemwachia kwa dhamana wakati tukikamilisha taratibu za kumuunganisha na washtakiwa wenzake kesho Jumatatu"alisisitiza Kamanda Ng'hoboko.

  Watuhumiwa ambao tayari wamefikishwa mahakamani ni pamoja na Kelvine Mushi (32) na mkewe Vaileth Swai (30),na Kassim Mohamed(28), Albeth August (25) na Leon Kimambo(34) wote wakazi wa Mailisita wilayani Hai.

  Katika shtaka la kwanza, upande wa mashtaka ukiongozwa na wakili wa serikali,Hellen Moshi ulidai mahakamani kuwa washtakiwa hao watano walikula njama na kufanikisha kulawitiwa kwa mwanaumme huyo.

  Katika shtaka la pili, washtakiwa wanne ukimwondoa Vaileth, wanatuhumiwa kuwa Desemba 16,2009 saa 12:00 jioni, walitenda kosa la kumlawiti mwanaume huyo.

  Washtakiwa hao walikanusha mashtaka hayo na waliachiwa kwa dhamana ya wadhamini wawili kila mmoja ambao walitakiwa kusaini hati ya dhamana ya Sh2 milioni au kuwasilisha hati za mali isiyohamishika.

  Habari zaidi zinadai kuwa kufumaniwa kwa mwanamume huyo kulitokana na mume wa mwanamke huyo kukamata simu ya mkewe na kuishikilia kwa siku na kuwasiliana na mwanamume huyo huku akijifanya ni mwanamke huyo. Mwanamume aliyetendewa unyama huo alipoteza fahamu katika purukushani za kupambana na watuhumiwa hao wasimkate uume wake na alipozinduka ndipo aliposhangaa amezungungwa na polisi na wafanyakazi wa hoteli hiyo.


   
 2. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bongo tuna vituko kweli siku hizi. Ukila cha mtu na wewe lazima uliwe, haya sasa sijui wangapi watapona.

  Ingefurahisha sana hawa vibosile wanaotafuna wake za watu yangewakuta haya siku moja.
   
 3. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  1. Hivi kuliwa Tigo bila rukhsa ya mwenye mgongo ina hukumu gani TZ?
  2. Nakumbuka yule padre aliyekamatwa pale Mlimani akimla dogo Tigo alishaachiliwa, lakini hawa kosa lao si ni kubwa zaidi si itabidi waozee selo?
  Wakifika selo ndio watakapojua uchungu wa kumla mwenzao Tigo.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  tatizo wengi wanaliwa awasemi ama kutangazwa lakini dar imekuwa mchezo huku mbezi tankibovu kuna mtu kala mke wa mwanajeshi aliatafutwa ndugu jamaa akahama kabsa na kuacha familia,...siku anarudi kuchukua nguo na vitu vyake loh
  anajua mungu na sie majirani
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  mkuu ile kesi nimeifwatilia sana
  akuliwa tigo ila yule mtoto aliomba kuliwa tigo jamaa akawa anawasiliana na mashetani wake nianze nisianze
  malaika wa bwana akatokea ndipo alipoponea
   
 6. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jamaa akishinda kesi itabidi wengine nao waseme.

  Tatizo sasa akipumua mtu harufu mbaya waungwana watakua wanakuangaliwa wewe. Kuliwa tigo hadharani sio mchezo.
   
 7. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwi kwi kwi kwiiiiiiii!!@#@!#@#!%%$@#!@?#!

  Kwa ushahidi kama huo Padre lazima aachiliwe huru.
   
 8. N

  Nandoa Member

  #8
  Jan 17, 2010
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  na inasemekana yule padre ule ulikuwa ni mtego kwake, inasemekana kwamba padre alikuwa na mama wa mtoto sasa sijui walikorofishana nini hivyo mama akaamua kumkomoa padre ndio ukawekwa ule mtego. na kwa vile lengo lilikuwa ni kumkomoa basi hata kile kitendo cha kuhukumiwa tu kilitosha!! bongo kazi kweli kweli!!
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280

  yuko huru ma dear

  msiwaguse masihi wa mungu;awakujua hili
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Kama mkeo kakuchoka na kaamua kutembea nje dawa ni kumwacha ,kitendo cha kuwaita watu na kumlawiti jamaa ni ujinga wa hali ya juu kwani haisadii kitu kwa kuwa hao wawili walikubaliana na hao walawiti njaa zao zitawapeleka kuzima kwanza wamejidharirisha wenyewe kwa kitendo cha kufanya ulawiti na ni aibu kwao wenyewe na familia zao,pia na si ajabu wameambukizana virusi vya ukimwa kwani watakuwa wamechubuka na mwisho lupango inawasubiri.
  Pia kwa jamaa aliyelawitiwa pole lakini si ungwana kufanya mapenzi na mke wa mtu,watu wa miji ya Arusha na Moshi wake zao hawachezewi kumbukeni mwaka jana jamaa huko arusha alijikuta yuko hospitali ya Meru akiwa amebaki na kipisi
   
 11. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli ya huyo mama wa kijana, ingefaa achukuliwe hatua za kisheria.

  Kukunwa akunwe yeye halafu mgongo ndio anataka dogo ndie asuguliwe, kwa nini asingemtegea Padre kwa chombo chake mwenyewe?
   
 12. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  HOMOSEXUAL CLERGY
  The subject is one that churches protestant as well as catholic- are trying hard ticonfine to the ecclesiastical closet. But secrecyis no longer possible. With the incgreasing openness of homosexuality in society, the issue was bound to come up in the clergy. In the roman catholic church there has been highly puplicized cases of child molestation by priest.
  Maryland psychologist Richard Sipe, a former priest concludes that about 20 percent of the 57000 US catholic priests are homosexual and that half of these are homosexually active. But since 1978, Sipe believes, the number of gay priests has increased significantly: other therapist think the true figure today may be closer to 40 percent. Estimates for the much smaller Episcopal church, by contrast, run as high as 50 percent of the clergy in such urban dioceses as Sun francisco and New York.'
  SORCE:- NEWSWEEK, FEBRUARY 23, 1987.
   
 13. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kama virusi hata jamaa angewaletea kupitia kwa mke wao,hapa ukifumwa na mke wa mtu ni tigo tu kwa kwenda mbele.

  Mnaotetea ni wala wake za watu, siku yenu inakuja mtaliwa tu. Me mtu akigusa mke wangu,nikijua lazima afanyiwe mpango aliwe tigo
   
 14. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kama mke ndie anayependa kutembeza nje, Mkuu je utakula Tigo ya kila atakayetembea naye?

  Kwa nini kufanya jinai kila ukimfumania wife badala ya kumuacha bibie anayependa Hotdog za mitaani badala ya sausage za nyumbani?
   
 15. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Lakini hizo si fixi za kumsafisha tu huyo Padre?
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  kwa nini asingemtegea Padre kwa chombo chake mwenyewe

  AMEOGOPA USED PART
  NDIO MAANA DUBAI ATUENDI TENA WATU WATAKA JAPANESSE VEHICLES ONLY Y?MIMI NA WEWE KUCHAMBUA
   
 17. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kwanini Arusha wana tabia sana hiyo ya ku baka wanaume, je mabasha ni wengi wako Arusha? sipigi picha umvamie dume mwenzako tena kwenye kurupushani kubwa kama hilo halafu ukaweza kusimamisha uume bila tatizo na kumbaka dume mwenzako tena sio kubaka tuu ni Kumbikiri, hilo litawezekanaje kama wewe mwenywe sio basha (gay)?

  Nampa pongezi sana huyu aliye Bakwa kwa kuweza kuto kaa kimya na kuhakikisha hawa jama wana fikishwa kwnye sheria, huu mtindo sio mzuri kabisa .Kama mdau alivyo sema hapo mwanzo, kama Mkeo ni Kicheche achana naye kwani , ata gawa nje tuu siku nyingine .
   
 18. M

  Mamaa New Member

  #18
  Jan 19, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mie nionavyo ndivyo! mkeo akishafikia hivyo, muache au kama ni adhabu basi umpe mkeo maana ndiye mkosaji mkuu katika hilo! Maana huwezi kujua - labda alimdanganya jamaa kuwa hajaolewa, au kaachika, au kajipeleka peleka tuu ili mradi waliridhiana wote wawili! (wengine ni hulka yao). Hata hivyo hebu tujiulize ndani ya mioyo yetu - wewe hujawahi kutenda kosa (tena kwa kusudi na kwa siri)ambalo kwa hakika ulistahili adhabu katika jamii Lakini hukuadhibiwa? (tena kosa lenyewe ni jamii hiyo hiyo!!) Hatusemi kuwa yule bwana hakutenda kosa ila, alistahili adhabu ile kweli? (walikuwa wamkate uume wake hivyo!) wale wanaoshabikia alichofanyiwa yule jamaa - ndo kusema wao ni wasafi sana au wanajua kupenda sana AU? tujifunzeni kusamehe pia!
   
 19. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #19
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi sina majibu ya maswali yako ila kila mtu ajihoji mwenyewe,ila enge kuwa mke wangu ni talaka tu yanini kujiletea mikesi wakati wasichana wako wazuri wakutosha? "kufikiri na kuamua kwa njia sahihi ndio msingi wa maendeleo"
   
 20. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hivi jamani KIGOGO ni mtu wa aina gani manake VIGOGO wanakuwa wengi sana siku hizi hata hawa wanaomili guest na ni VIGOGO
   
Loading...