Maamuzi ya wabunge vs Maamuzi ya Madiwani.

Maamuzi ya wabunge vs Maamuzi ya Madiwani.

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Posts
4,132
Reaction score
1,582
Ukiangalia mfumo wa kuendesha nchi yetu na hata vikao vya wabunge na vile vya madiwani ambao kimsingi wanaweza kuwa ni wabunge kwenye ngazi ya Halimashauri ,utaona kuna tofauti kubwa sana haswa katika kufikia maamuzi .

Madiwani wao hushauriwa na wataalamu wa Halimashauri kabla ya kufanya maamuzi.

Wabunge hufanya maamuzi bila kushauriwa na wataalamu na wanawataka wataalamu waende wakatekeleze yale maamuzi yao.

Kwa nini tusiwe na mpango wa kuwapatia wabunge wataalamu ambao watawashauri kwanza kabla ya kufanya maamuzi yao?

Wabunge wanaunda kamati za kwenda kukagua ila ndani ya hizo kamati wataalamu sio sehemu yao kwa nini?
 
Back
Top Bottom