Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,121
- 165,984
- haijulikani kama ni kweli au uongo kuwa ukiwa nyumbani mkojo haukubani ila ukitoka tu nje ya nyumba yako hazipiti dakika kumi utausikia.
- mkiwa mmeongozana marafiki, mmoja akianza kukojoa, wengine huambukizwa.
- kama una mazoe ya kukojoa mahali, ukikaribia maeneo hayo automatically utabanwa na mkojo.