Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MEDITATION NO. 439 Lord Ashtar To Begin Monday February 1, 2010 Greetings! Ashtar with you once again. We are asking the Eagles to work with three grids during your coming week: (1) what we have...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mradi huu wa maji umeshika kasi kuanzia kimara hadi maeneo ya makuburi. Maji yameanza kutoka na nyumba nyingi zimewekewa mabomba na shida ya maji itapungua sana. Mradi huu usiwe ni mchakato...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mdahalo kuhusu Afrika na changamoto yake ya maendeleo. Prof. Anna Tibaijuka alikuwa chachu katika huu mdahalo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani karne ya 21,kwa nini Watanzania tunaruhusu wagonjwa kulala kitanda kimoja hospitalini? Kumbuka Temeke iko jijini,je huko Mtwara,Kigoma ,Shinyanga na Singida itakuwaje? Tuliona Super Model...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vurugu zatanda, wanafunzi Kibasila walala barabarani FFU WAFYATUA RISASI, WANAFUNZI 18 WAZIRAI Waandishi Wetu WANAFUNZI 18 wa kike wa Shule ya Sekondari ya Kibasila jana walizirai...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu leo inakutana na Waziri wa Miundombinu, Profesa Shukuru Kawambwa, kupata taarifa za utendaji wa kampuni za Reli (TRL) na Ndege (ATCL). Kulingana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepata habari kuwa Wahindi wa Aga Khan walikwenda kuukagua uwanja wa Kilimanjaro International Airport wakiwa na nia dhahiri ya kuuchukua na kuanza kuuendasha. Hii ni baada ya serikali kununua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Na Said Njuki, Arusha WAISLAM mkoani hapa, jana walifurika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha wakihaha kuwadhamini viongozi wao waliopo rumande akiwemo Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Masuala mazito yote tuletewe wananchi Kwa kweli sijuwi kama Msekwa, Makamba na vibaraka vyao wamezidiwa na uzee?Mimi napenda kuamini kama msimamo unaendelea sasa hivi Barazani kutoka kwa ndugu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HATIMAYE Mchungaji Christopher Mtikila liyekuwa rumande kutokana na kukabiliwa na mashtaka ya uchochezi na kutoa lugha ya matusi kwa Rais Jakaya Kikwete, amepata dhamana. Kesi hiyo ambayo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
2010-01-30 10:48:00 Sh4bn lost daily in Dar traffic jams CEOBy Bernard Lugongo THE CITIZEN A Sh4 billion loss is incurred every day from traffic jams in Dar es Salaam. Workers spend hours on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Government mulls helping Z`bar end power problems By Felister Peter 30th January 2010 Zanzibar`s Chief Minister Shamsi Vuai Nahodha. The government, through the Ministry of Finance...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimewwiwa kusema haya baada ya kusoma gazeti moja la mwanahalisi, hii imenifanya kuona kumb e hata zile kesi pale mahakamani yawezeknaa watu wameonewa ama ni mchanga wa macho. CCM imeunda kamati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kumekuwa na kampeni nyingi za kutetea haki za watoto mashuleni na mahali pengine popote. Moja kati ya suala tata katika haki za watoto ni kama watoto waadhibiwe wanapokosa ua wasiadhibiwe...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nikiwa Mwanza hivi karibuni, nilimwona mtoto huyo aliyelala na kushika tama kila asubuhi niliyokuwa nikifanya jogging. Nilipokwenda nikikimbia, nilimpita akiwa bado hajaamka, na niliporudi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Bongo kuna magazeti mengi sana hadi idadi haieleweki.Hivi mnaweza kunisaidia ni media gani atleast yenye kuzingatia taaluma ya kufanya nayo kazi?.Based on balance, truth,objecticity,fair, free...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu. Jana kwenye taarifa ya habari ya ITV tumehabarishwa kwamba Dk Marina Njelekela yule mwenyekiti wa Chama Cha Wanawake Madaktari-MEWATA ametunukiwa tuzo ya Martin Luther King na Ubalozi wa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Watu mbalimbali walikuwa wakichangia jana kwenye kampeni ya kuchangia Mfuko wa Vodacom (Vodacom Foundation) ili uweze kusaidia wahanga wa mafuriko yanayoendelea nchini walijikuta wakifurahia kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
....Huwa wakati mwingine natatanika na uwakilishi wa wabunge wetu huko bungeni hasa kuhusiana na maswali waulizayo.... Kuhusu swali la Mbunge wa Kwela, Dk. Chrisant Mzindakaya (CCM) ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kwa nini wanawake wa kimasai hawawi na nywele ndefu yaani ni kipara wakati wanaume wanasuka nywele naomba kwa anayejua anielimishe
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…