wanawake wa kimasai

Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
883
73
Hivi kwa nini wanawake wa kimasai hawawi na nywele ndefu yaani ni kipara wakati wanaume wanasuka nywele naomba kwa anayejua anielimishe
 

Attachments

  • 01_10_7hb1zz.jpg
    01_10_7hb1zz.jpg
    23.1 KB · Views: 75
Maisha ya pori

Gharama za kuhudumia nywele (salooon, na sabuni na mafuta ya nywele)

Kudumisha asili ya mwanamke, nywele nyingi ni mzigo na uondoa asili (mtu alizaliwa na nywele kidogo)

hakuna muda kwa wanawake kukaa kwenye vijiwe kusukana na kupiga umbea wakati ng'ombe wanataka malisho!


Hivi ndivyo nidhaniavyo!
 
nywele homwongea mwanamke umbea zaidi hivyo wao wameamua kuziondoa ili kuongeza muda wa kazi zaidi, unafikiriaje wangekuwa na nywele za kusukana na kazi wanazofanya za kuuza dawa asili? wanaume wanaposukana wanakuwa wanachunga ng'mbe huku wakijadiliana namna ya kubolesha mifugo yao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom