Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Nimepata habari kuwa Wahindi wa Aga Khan walikwenda kuukagua uwanja wa Kilimanjaro International Airport wakiwa na nia dhahiri ya kuuchukua na kuanza kuuendasha.
Hii ni baada ya serikali kununua na kumiliki hisa zaidi ya 95% .
KADCO itapigwa chini na serikali na kuwapa AGAKHAN.
Swali langu la msingi ni Je kama hii ni kweli hatutarudia yale matapishi ya TRL na kama kuna mtu ana habari zaidi na za uhakika naomba atumwagie mahabari yote ikiwapo vigezo vitakavyotumika katika mkataba.
Naomba wandugu tulijadili hili kwa kina.....
Nawasilisha..................