Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
Nimewwiwa kusema haya baada ya kusoma gazeti moja la mwanahalisi, hii imenifanya kuona kumb e hata zile kesi pale mahakamani yawezeknaa watu wameonewa ama ni mchanga wa macho.
CCM imeunda kamati amabayo imekuwa ikisaini mshiko kila siku tena kwa pesa za kodi ya wananchi;matokeo yake mzee mwinyi akaamua kutoa maoni yake nini cha kufanya ni kuwaondoa hawa mafisadi
Leo hii rais anathubutu kuwaita wakina mwinyi kama watoto wadogo na kuwaambia nendeni mkamalizane nao hao mafisadi muda wa uchaguzi huu.
Akiambiwa pesa za EPA ndizo zimemuingiza madarakani hataki kuamini sasa hawa mafisadi anaowapeleka mahakamani anamaana gani?
Huyu rais kwangu ndie kinara wa mafisadi naamini hii vita ni ngumu kama huyu bwana akiwa madarakani;lolote watanaznia tusimwamini kabisa maisha yake yako mikononi mwa mafisadi hakuna haja ya kumsaidia hata kimawazo nilihisi ata tukiandika nini cha kufanya kuhusu mafisadi anaweza kusaidika lakni kwa style hii never
KILA LA KHERI JK