Natamani mradi huu wa maji ya wachina ungekuwa endelevu


Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
10,217
Likes
107
Points
145
Raia Fulani

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
10,217 107 145
Mradi huu wa maji umeshika kasi kuanzia kimara hadi maeneo ya makuburi. Maji yameanza kutoka na nyumba nyingi zimewekewa mabomba na shida ya maji itapungua sana. Mradi huu usiwe ni mchakato kuelekea uchaguzi mkuu halafu basi. Tunaipongeza serikali kwa hili. Na wananchi wawe na busara katika matumizi ya maji pamoja na kuhakikisha ulinzi na uendelevu wa upatikanaji wa maji
 

Forum statistics

Threads 1,235,138
Members 474,353
Posts 29,213,055