Maswali ya wabunge - hii imekaaje?

Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
19
....Huwa wakati mwingine natatanika na uwakilishi wa wabunge wetu huko bungeni hasa kuhusiana na maswali waulizayo....

Kuhusu swali la Mbunge wa Kwela, Dk. Chrisant Mzindakaya (CCM) ambaye alitaka kufahamu kwa nini kati ya visiwa vinne vya Comoro kimoja bado kiko chini ya Serikali ya Ufaransa, Pinda alisema hali hiyo inatokana na historia ya visiwa hivyo ambapo kwa sasa hakuna la kufanya zaidi ya kusubiri uamuzi wa wananchi wenyewe wa kisiwa hicho dhidi ya Ufaransa.

Source:http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=5483

.....nini mantiki ya swali hili katika bunge la Tanzania? Huyu "Mheshimiwa" hana maswali ya msingi kwa waliomchagua badala ya kuzungumzia Comoro?
 
Back
Top Bottom