Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kitendo cha watu kuingia makao makao makuu ya polisi na kutega bomu inasikitisha lakini kikubwa ni inatia mashaka juu ya uwezo wa jeshi la polisi na vyombo vya usalama kwa ujumla, hii inatutisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, leo wakati nakuja mjini asubuhi kulitokea kitendo ambacho kilishangaza na kustua abiria wengi katika daladala tuliyopanda... Hivyi unafahamu kuna style imeibuka kwa makonda kubeba shilingi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je ni nati zimelegea au?? au ndo ule mtandao wa akina P**e?? http://www.youtube.com/watch?v=bG7moLe6_rU&feature=related
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina hamu sana ya kucheza tena huu mchezo. Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunakusanya mchanga, tunatengeneza kama ka mlima flani halafu tunachomeka kijiti juu katikati. Halafu tunaanza kuula kidogo...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Uasherati maana yake ni uzinifu baina ya watu wawili ambao hawakuoana kisheria. Madhara ya uzinifu ni makubwa ikiwa ni pamoja na kuleta fitina, ugomvi na hata kuuwana. Maradhi yanayoletwa na...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
WARNING: This post contains graphic images of dead bodies and injured survivors. A man covers his mouth as the stench dead bodies fills the area outside near a destroyed building on January...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Askari huyo aitwaye BWIRE amekutwa amekufa na kufukiwa kwenye shimo ambalo hutumiwa na wapasua mbao ktk eneo la Ibera wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Tukio hili limetokea ndani ya miezi miwili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
lobsangrampa.org/data/Intro.mp3
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Alikuwa kwenye matembezi yake huko Ibera na alitakiwa kurudi kazini lakini kwa muda wa siku tatu hakuonekana hadi alipo kutwa akiwa amekufa na kufukiwa kwenye shimo wanalotumia wapasua mbao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Naamini moja ya njia nzuri kwa Rais aliyeko madarakani katika kuwasiliana na watu wake ni kuwahutubia kila mwezi (ikiwezekana hata kila wiki) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na nini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau Naombeni mnijuze ni nini mantiki ya hawa kina Majembe kujihusisha na usafiri mabarabarani hususani katika kuwadhibiti waendesha daladala? Je tuseme kuwa Traffick wameshidwa kazi yao au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WanaJf nawasalimu, Taarifa ya juzi kwamba kwenye ofisi ya Mkemia Mkuu kumevunjwa na kuibiwa, imenifanya niwe na maswali hasa ukizingatia ni kwa mara ya tano kwa vipindi tofauti, -Hao wezi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam WanaJF, Nimejikuta nikiukumbuka utaratibu wa aliyekuwa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu yetu Mrema. Ukiwa unatoka Ubungo kuja Fire pembeni ya barabara kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
http://lobsangrampa.org/data/Meditation.mp3
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Marehemu Swetu Fundikira Inaniwia vigumu sana kutoa shukran kwa mtu mmoja mmoja au kwa makundi kutokana na ushiriki wenu kuanzia kujeruhiwa mpaka mazishi ya mpendwa wetu Marehemu Swetu Ramadhan...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
http://lobsangrampa.org/data/Prayer.mp3
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi asubuhi hii naelekea mkoani Singida hii ikiwa ni mara yangu ya pili baada ya miaka miwili; naambiwa mkoa umepiga hatua kimaendeleo; nakwenda kujionea! Lakini naleta kwenu kuwa huu ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani inakuwaje Tanzania yangu wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi? Majambazi wamevamia hapa Shekilago dukani kwa jamaa na kupora pesa na watu 2 wamejaruhiwa na watu wote tuko ndani tumeogopa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WATU wanne wa familia moja wamekufa baada ya jenereta lililokuwa limefungiwa ndani ya nyumba hiyo kupasuka na kuwaka moto. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamka leo, Kibwenzini Zanzibar wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo.... sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…