Hii inasababishwa na nini wadau??

Hii inasababishwa na nini wadau??

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,217
Reaction score
3,125
Je ni nati zimelegea au?? au ndo ule mtandao wa akina P**e??

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=bG7moLe6_rU&feature=related[/ame]
 
Mwingine huyu??

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=_0ook7es_Ko&feature=related[/ame]
 
the way i see it, inaonekana kama hamna tena kizuizi 'huko'. Ni kweli kwamba gas kila mja anaipunguza huko..lakini nadhani si kihivi..mbele ya national tv??
 
Mzee kuna wadada huwa wanatoa milio sehemu za siri wakati wanafanya mapenzi mlio ni kama wa kujamba (Vaginal flatulence)

Wikipedia
Vaginal flatulence (flatus vaginalis in Latin) is an emission or expulsion of air from the vagina that may occur during or after sexual intercourse or (less often) during other sexual acts, stretching or exercise. The sound is somewhat comparable to flatulence from the anus but does not involve waste gases and thus often has no specific odor associated.
 
Mzee kuna wadada huwa wanatoa milio sehemu za siri wakati wanafanya mapenzi mlio ni kama wa kujamba (Vaginal flatulence)

Wikipedia

Hiyo ni explainable kutokana na kusukumwa kwa entrapped air. Lakini hiyo nyingine mmhhh?? sina imani.
 
Mbona si wadada wote hutoa hiyo milio?

Labda pia kwa wengine huwa ni maumbile maana wakati wote huwa waachia tu mashuzi! labda ile scenario nyingine nati zimelegezwa!!!!!! najua huku ndiko wengi wanakofikiria
 
Ha ha..kiongozi usinikwoti.

Nilikuwa tu najiuliza aloud kwamba mtu anawezaje asijicontrol mbele ya national tv?? is it possible??(nikiasssume kuwa nati zinafanya kazi, na factors nyingine zipo constantly normal).
 
Hahahahah hili nitatizo kuna baadhi huwa hawezi kabisa zuia......
 
Kuna wazee na wagonjwa wenye matatizo maalum, hawa tunaeza kuwa-excuse. Lakini wengineo nashikwa na kigugumizi.
 
Back
Top Bottom