Tbc:- only in mafinga

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
88
Habari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo....

sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo emeonekana kijijini kwao mzima wa afya tele na amehojiwa na vyombo vyahabari na anasema kuwa amekuja duniani kumzika baba yake na ndiyo na yeye arudi huko alikokuwa.

Isn't it strange?....watu wameenda kwenye kaburi lake na wamekuta wala halijabomolewa na kuna mtu ametoa ushahidi kuwa gari la Nickson ndiyo lilibeba maiti ya baba yake....inshallah mungu tunusuru nadhani huuu ni mwisho wa dunia unakaribia...i think ile issue ya sodoma na gomora sasa ndiyo wakati wake...how come mtu amekufa alafu anarudi akiwa hai eti kaja kumzika dadiye!.....

Kuna watu wana moyo hata wa kumuhojimiye ningekimbia....(Marathon)
 
Hakuna kitu cha ajabu, labda huko kijiji kwenu Mafinga. Mbona ni wengi wanarudishwa? Mbona Biblia ipo wazi sana juu ya suala hilo.

Mathayo 10:8
Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo. Mmepewa bure, toeni bure.
 
Habari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo....

sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo emeonekana kijijini kwao mzima wa afya tele na amehojiwa na vyombo vyahabari na anasema kuwa amekuja duniani kumzika baba yake na ndiyo na yeye arudi huko alikokuwa.

Isn't it strange?....watu wameenda kwenye kaburi lake na wamekuta wala halijabomolewa na kuna mtu ametoa ushahidi kuwa gari la Nickson ndiyo lilibeba maiti ya baba yake....inshallah mungu tunusuru nadhani huuu ni mwisho wa dunia unakaribia...i think ile issue ya sodoma na gomora sasa ndiyo wakati wake...how come mtu amekufa alafu anarudi akiwa hai eti kaja kumzika dadiye!.....

Kuna watu wana moyo hata wa kumuhojimiye ningekimbia....(Marathon)
ing'aani e idsi homegir....!NALAMU SANA
 
TBC wanawaza kutengeneza sana kwa kuuza hiyo interview.
si unzajua wabongo wanapenda stori za namna hiyo (kama zile anazozitubga lrene Ndahuka na kuchapishwa na magazeti ya majungu)
 
....hahahaha!
hommie avata uyiweenee?....utudaho tula lol!

........
icon10.gif
icon10.gif
....mwana simvunge yula khaaaa!....nilishakomaaga naye on that, kawa mkali sana!
 
hehehe!
Yaani hommie...!
Utuwene utudakho tula tulimwe avata ya binti maringo...?

mmh ngoja tuwaache kwanza mmbonge kinyumbani, mie namsubiri shosti wangu bm kwa maelezo zaidi ya hii sred yake. Ngoja aamke!!!!!!!!!
 
hahaha!
yule ni homegirl wangu kabisaaaaaa
 
Habari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo....

sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo emeonekana kijijini kwao mzima wa afya tele na amehojiwa na vyombo vyahabari na anasema kuwa amekuja duniani kumzika baba yake na ndiyo na yeye arudi huko alikokuwa.

Isn't it strange?....watu wameenda kwenye kaburi lake na wamekuta wala halijabomolewa na kuna mtu ametoa ushahidi kuwa gari la Nickson ndiyo lilibeba maiti ya baba yake....inshallah mungu tunusuru nadhani huuu ni mwisho wa dunia unakaribia...i think ile issue ya sodoma na gomora sasa ndiyo wakati wake...how come mtu amekufa alafu anarudi akiwa hai eti kaja kumzika dadiye!.....

Kuna watu wana moyo hata wa kumuhojimiye ningekimbia....(Marathon)
Binti Maringo,
huyu kijana alikuwa hajafa na alihojiwa na BBC akasema hajawahi kufa bali alikuwa porini akichanja mbao. Na ameamua kuja nyumbani kwa sababu kila sikua amekuwa akiota ndoto kwamba baba yake amekufa. Hakuna swala la kufufuka hapa. Watu wakitaka kuhakikisha kwamba aliyezikwa ni yeye au siye basi wafukuwe kaburi wapime DNA ya maiti na DNA ya huyu aliyekuja. Pia wachukue nguo zake kabla hajafa wafanyie pia DNA, hiyo itakuwa scientific proof na itaacha speculation. as it is now, watu walizika maiti siyokuwa yao.
 
hahaha!
yule ni homegirl wangu kabisaaaaaa

najua, shostito wangu ananimbiaga hivoooo!!!!! ana mastori ya ulanzi and stuff duh!!!!! yule kweli homie gurl!!!!!!!!!!!!!!!
 
TIWAWONI!!!!!!!!!!
hiki ni kingoni, maana yake habari zetu
jamani wana jamii forum nawasalimu, naomba nafasi humu ndani

asanteni

Kachoki
 
Back
Top Bottom