Rais JMK na Watanzania

TANURU

Senior Member
Joined
Jan 13, 2010
Messages
162
Likes
0
Points
0

TANURU

Senior Member
Joined Jan 13, 2010
162 0 0
Wakuu,

Naamini moja ya njia nzuri kwa Rais aliyeko madarakani katika kuwasiliana na watu wake ni kuwahutubia kila mwezi (ikiwezekana hata kila wiki) kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na nini Serikali inafanya katika kuwaletea maendeleo watu wake na taifa kwa ujumla. Hapa kwetu naona huu utaratibu kama vile "unakufa" taratibu. Kulikoni Wakuu?
 

Forum statistics

Threads 1,191,696
Members 451,730
Posts 27,717,962