WAKUU kuna tatizo kubwa la mtandao wa TRA kwa zaidi ya siku tatu sasa na watu ambao walikua watoe mizigo tokea juzi hadi sasa wamekwama na watalazimika kulipia storage wenyewe na hata kupata...
Kuna watanzania wengi sana wanaonewa na kunyanyaswa na wawekezaji kutokana na wawekezaji kubebwa na watawala.
Katika hali ya kawaida, siyo kawaida mtu aende nchi ya ugenini halafu akawafanyie...
Profile:
Name: Mwakibete, Jacob
Born place: Mwakaleli, Mbeya
Born date: 20 June (nimetunga tu hapa)
Hometown: Seoul, Korea
Hivi mtu kama huyu unamwelewaje?
Mtu kama huyu ukimtajia neno 'NDUKI'...
Hivi naomba kuuliza kwanini tumekuwa tukitozwa kodi mara mbili katika bidhaa moja na katika nchi moja??Mathalani unanua gari Zanzibar unalipia ushuru wote TRA zanzibar lakini ukija na basi pale...
Kama mmoja wa wahusika basi fika airport kuna hili gari limedampiwa na mwenyewe sasa mwezi na wenyewe kiwanja wanafikiria kuliwakilisha kituo cha polisi sasa kama mjuuavyo wote n binadamu gari...
I came across the following interesting piece and thought I should share this with you:
Almost always electorate confuses general elections with popularity contests. We usually forget that...
Slaa: Mimi mtu makini sitendi kwa kukurupuka
Asema CCM imepanga kuibua uongo mpya dhidi yake
na Mwandishi wetu, Meatu
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk...
KWA watu wengi wa jamii za Kiafrika hudhani kwamba mtu kuandika au kutoa wosia juu ya mali zake, ni mkosi na anayeandika anaonekana ni mtu anayejichulia au kujitabiria kifo.
Hata hivyo, hiki ni...
Nikiwa ni msomaji wa makala ya mwandishi nguli ndugu Johnson Mbwambo napenda kumpa pole na kumtakia afya njema,nimesikia kuwa anasumbuliwa na maradhi ya moyo,namuombea apone haraka ili arudi...
Mimi nimekuwa nikiangalia tv za kibongo kweli hawana wabunifu wa vipindi linachonishangaza nipale Channel zote kutekwa na michezo ya Amerika kusini hivi unataka kuniambia hapa africa hakuna...
The smallest monkey in the world is only about 15 cm tall.....
Native to the rainforests of northern South America, the pygmy marmoset tops out at an adult weight of approximately 4 ounces! They...
MGOMBEA ubunge kupitia tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Agustine Lyatonga Mrema katika jimbo la Vunjo Moshi Vijijini, amesema kwamba kazi ya ubunge siyo sawa na kazi ya kubeba zege ambayo...
Benki ya FBME yasaidia yatima
Tuesday, 07 September 2010 20:06
Vicky Kimaro
KITUO cha kulelea watoto yatima cha Malaika kilichopo wilayani Mkuranga kimepokea misaada ya vyakula mbalimbali...
Kuna mambo mimi huwa hata siyaelewi kwa kweli......
Sometimes mimi huwa najiona tofauti sana na watu wengine....
Sasa hivi utakuta watu wengi wako bize kwa
shopping....ukiwauliza watakwambia...
Mzumbe wajipanga kupanua chuo
Monday, 06 September 2010
Hussein Issa
CHUO Kikuu cha Mzumbe kimenunua eneo la ukubwa wa ekari 384 za mraba, katika eneo la Luambi, mkoani Mbeya, kwa ajili ya...
Mjadala kuhusu mchango wa magazeti ya Udaku katika kujenga au kubomoa jamii una historia ndefu sana. Ni mjadala ambao ulikuwepo,upo na utaendelea kuwepo labda mpaka hapo itakapotokea kwamba...
Habarini za leo wana JF
Nina kagari kangu nataka nikageuze kaweze kutumia gesi na petrol ila ningependa nipate uzoefu kama kuna mtu ana gari yake inatumia gesi anipe uzoefu wake hasa wa gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.