Kodi Mbili katika nchi moja!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kodi Mbili katika nchi moja!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Sep 9, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hivi naomba kuuliza kwanini tumekuwa tukitozwa kodi mara mbili katika bidhaa moja na katika nchi moja??Mathalani unanua gari Zanzibar unalipia ushuru wote TRA zanzibar lakini ukija na basi pale malindi gari haitoki mpaka wakupigie hesabu nyingine tena wanakwambia system yao inaitwa (sycuda)Kama ni miss spell lakini nadhani nitakuwa nimeeleweka!!Unatoa tena pesa kuinusuru gari isipigwe mnada!!Je nikwanini serikali inafanya malipo mara mbili katiaka bidhaa moja na katika nchi moja??
   
 2. D

  Dick JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sababu ni kuwa na vyombo vya kodi/mapato viwili ambavyo si vya muungano. Zanzibar wana ZRB na bara wana TRA. Kila kimoja kinajiongoza na kinajitegemea. Ni sawa na kutoa na kuingiza bidhaa nchi tofauti.
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hii ni kero mojawapo ya Muungano, je wenzetu wa UK wanafanya? Mfano ukitoa bidhaa England kwenda Wales, Scotland, etc wanafanyaje?
   
 4. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nchi moja wapi wakati zanzibar imeshajitangazia kuwa ni nchi kamili yenye rais mwenye mamlaka yote , ina mipaka ya nchi inyotaka itambuliwe kimataifa. bora muungano uvunjike tubaki na TANGANYIKA NCHI YETU TUNAYOIPENDA
   
Loading...