TV Station za Bongo hawana jipya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TV Station za Bongo hawana jipya!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Sep 6, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mimi nimekuwa nikiangalia tv za kibongo kweli hawana wabunifu wa vipindi linachonishangaza nipale Channel zote kutekwa na michezo ya Amerika kusini hivi unataka kuniambia hapa africa hakuna michezo ya kuvutia mpaka kuwa watumwa wa picha za America kusini?

  Hapa mbona tuna wasanii wazuri kuliko akina marichui?

  Hebu badilikeni tafuteni vipindi vyakuelimisha jamii kuna vitu vingi watanzania hawavijui hata elimu ya Tabia nchi matufani jinsi yakujiokoa na majanga elimu ya viumbe vya majini vipo vipindi vingi vya kufurahisha!!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Sisi ubunifu hakuna kabisa. Watu utakuta wanasimuliana kilichotokea kwenye sijui 24, sijui CSI Miami, Law and Order, Sex and the City....Marekani inatesa bana acha tu...sijui BET, MTV, Oscars, Emmys,...sijui mieleka ya WWE na Vince McMahon.......shit.:becky::becky:
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Miafrika Ndivyo Tulivyo - "Though this be madness, yet there is method in it." - From Shakespeare's Hamlet
   
 4. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kila shetani na mbuyu wake jamani kama wewe station za bongo hazikunogei tuachie wengine tunapenda na tunainjoi sana tu....kina maria turry,impostors,franco reyz na kaka zake hatuwezi kuzikosa.............tukitaka kujifunza mambo ya bongo tunajua wapi pa kujifunza...........
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Asante faithful nisamee kama nimekukwaza ila uhuru wangu wakatiba nikaileta hapa kwa msaada wawatu wa marekani!!
   
 6. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Hapana, nafikiri ninyi mnapenda kuangalia zaidi kwa TIDO na MENGI! Zipo tv stations zina own programs na zina wasanii tosha. Ni bahati mbaya wale kina Comedy wamenganganiwa kama pesa, tungekuwa na vitu vya uhakika.


  Angalieni pia TV kama Mlimani, Tumaini na Stars sio rahisi ukasema hayo mliyoyasema hapa.

  Mwisho ni vizuri tukawapa moyo, tukawashawishi waendeleze kile walicho nacho, tusiwagie sana. Sio vyema kuwahesabia kipimo kile kile cha Ulaya (judge them by their own standards!)
   
 7. K

  Kijana Mkweli Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wajameni let us b honesty movie za kibongo hazina mnato,theme haileweki,hakuna script,hazina mbele wala nyuma...niacheni niangalie mexican soaps kama dont mess with an angel,burden of guilt,saborati na hidden passion coz zinabamba kusema kweli...anaetaka ngoma za asili afungulie TBC Taifa.
   
 8. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  haujanikwaza. ila sisi tunajifunza mengi zaidi ya burudani...ni kama darasa fulani hivi...kupata elimu ya maisha,mapenzi na madhara ya kulazimisha kupendwa.....umaskini na shida zake etc..za kibongo nzuri ila hazijafikia level hiyo ya wenzetu...unakuta mtunzi ndio director,steling,editor,make up...yaani inaboa kabla haijaanza ila wapo wabongo wanaojitahidi
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 7, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  La Tormenta El en Paraiso....lol
   
 10. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ni kweli kabisa, hebu angalia ile wanayoweka TBC1 kila j5 inaitwaje sijui, ni ya 30min lkn matangazo wanyoweka ni pasu kwa pasu unakuta kamchezo ni kama ka 10 min tu! by the way hizo tamthilia za kina marichui na miranda haziwekwi siku nzima ni kwa 45min to 1hr per day.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tafuteni hobi nyengine..Kumbukeni garbage in garbage out.
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Tv ya Citizen -Kenya walianzisha kipindi cha harusi, hapa bongo takriban tv zote nazo zimeiga.
  Wameiga mpaka na muda wa kipindi kuonyeshwa, siku, etc,, mfano chereko.

  Afu yule mtangazaji somebody Bondo huwa anakera kwa kuchanganya kwake kiingereza, na kuongea kibitozi.:mad2::A S-frusty:
   
 13. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kinachowaponza ni vya bure na bei rahisi. Kumbe wangeweza kulipia gharama kubwa kwa michezo ya ukweli halafu wangelipia kupitia matangazo. Hiyo michezo mingi ya miaka zaidi ya 20 iliyopita
   
 14. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wewe nawe uache uongo, ni tamthilai gani ukiacha Isidingo ni ya miaka hata mitano tu iliyopita? na hapa msiziseme TV station zaq bongo tu, mbona hata TV station za nchi nyingine wanaonesha tamthilia hizihizi, mfano My TV Africa wanaonesha karibia kila tamthilia inaoonekana Bongo, MuVi TV ya Zambia the same, sasa ubaya uko wapi. Kwa kuangalia tamthilia hizi watu wanajifunza pia tamaduni za nchi na mabara mengine, na kwa jinsi hii ndio watu huendelea ( I mean kwa kujifunza toka kwa wengine)!.
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Katika utamaduni umeruka frequency kilembwe maana tamaduni zao bora za mfaransa zina staa!!!Yani hutoke huku ukaige tamaduni ya sao pal,argentina brasil,etc??:confused2::mad2:
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mimi nadhani kuandaa vipindi bora kunahitaji fedha nyingi sana kitu ambacho tv zetu zinashindwa, hata hizo tamthilia unazo ziona taka asia na amerika kusi ni zasikunyingi mno hazipo hata sokoni wanapata kwa bei poa
  leo move moja ya america inaweza kuwa sawa na bajeti ya nchi zetu za kaifrika unategemea nini
  nikweli vipindi havina ubora nk lakini hii ni kipata ndio tatizo, lakini move zetu sisi tunaona hovyo lakini kuna wenzetu kama kenya uganda hata rwanda na burundi hadi kongo wanazikubali sana
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Itv- mizengwe
  star tv - futuhi
  channel ten- ?????????
  Clouds tv- hawa na wenyewe bana sijui
  c2c - hawa huwa siwaelewi kabisa
  tbc - chereko chereko wameiga kutoka kenya, orijino komedi
  channel 5- hawa nao naona sio music television tena wanafanya wanachojua wao
   
 18. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mimi nadhani sio suala la kuiga tamaduni bali kujifunza tamaduni na maisha ya watu wambali kumbuka kuna wabongo ambao hawajawahi kufika hata hapo nairobi so wanajifunza maisha ya watu wengine mbaali duniani...utagundua mengi mazuri ya kujifuza pia utagundua kumbe shida za wanadamu zinafanana bila kujali kama ni wazungu au waswahili...
   
 19. T

  Twinky Senior Member

  #19
  Sep 8, 2010
  Joined: Jun 10, 2010
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani hivi hawa Star media nao wanafanya nini kwani.
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Wababaishaji wote
   
Loading...