Jamani kuna mtu amenigusa kidogo kwa kunihakikishia
hawa mabwana apamoja na fighting yao ccm awakuwahi kurudisha
kadi za CCM walipoamua kukiama
hawa si wahaini wa kisiasa kweli???
Kweli nyani haoni kundule lake, hawa jamaa WAJUAJI wa clouds tena kupitia kipindi chao cha Power Breakfast show huwa wako mstari wa mbele kukosoa mambo mengi sana lakini leo nimewabamba. Website...
Wadau, Heshima mbele!
Naomba kujuzwa,
Utaratibu wa kumpata CEO wa shirika la umma/taasisi ya serikali/govt agency ukoje haswa hapa Tanganyika?
Tumekuwa tukiona mara post inatangazwa, then...
Jamani hawa watu sijui niwaweke kundi gani
nilipita pale manzese nikasema nimsalimie best yangu mmoja
anauza yale mambo ya coffin baada ya muda ikaja
benzi wanaitaji jeneza...wakaednda...
Watu wasemekeanao majambazi wamevamia harusi moja kwa
kuingia na kuwaua watu watano na kuendelea kuwasha moto kwa wengine waliokuwa wakitafutwa,..habari zaiidi zinasema walipoingia walikuwa kama...
Na Saed Kubenea
BUNGE la Jamhuri limetishwa. Spika Samwel Sitta amengolewa meno na kurejeshwa katika dini yake ya asili.
Viwango na kasi Standard and Speed alivyosema ni mwongozo katika...
Ndugu mwema habari ya saizi,natumaini umelala hivi sasa
kama utaabahatika kuamka asbh naomba uamke kuminambili uonepolisi
wako walivyomfanya dereva tax pale kasulu ,...walienda wakamdai ameiba...
Jamani jana nilikuwa naangalia tbc kulikuwa na mada nzuri sana
walikuwepi mama abdallah,,mama nkya wa tamwa na mbunge mmoja sikumbuki jina...ahpo ndipo niliamini yule mama nkya ni kichwa cha...
Kweli mjini shule
jamani wakati taarifa ya kutaka kujitoa kwenye soko
la maafuta tanzania wengine tumeisikia leo hii
Meli kubwa iitwayo MT PLADDER ikiwa na mafuta shede ya ndege
imerudishwa...
Ikiwa ni ndani ya wiki moja Mkoa wa Tabora kukumbwa na ajali mbaya za vyombo vya usafiri( Bus) Basi lililoua watu zaidi ya 24 mwanzoni mwa wiki hii wilayani Nzega A.M coach dakika chache...
Hii imekuwa ni mizaa ya tcaa kila siku ajali zinatokea akuna kinachoendelea
watu wakifa ndio wanakumbuka kuwawajibisha watu......
Bado tunaendelea kufwatilia chanzo cha ajali halisi ila bado...
MCHUNGAJI wa Kanisa Anglikana Parishi ya Pandambili Jimbo Kuu la Mpwapwa-Kongwa mkoani hapa, Petro Namga, amesimamishwa kazi kutokana na kashfa ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na muumini wake...
WANA,
NAWATAKIA IJUMAA NJEMA NA MAPUMZIKO YALIYO MEMA YA MWISHO WA WIKI.
MSISAHAU KUCHEZA SALAMA.
FUNGUA ATTACHMENT KWA KUIFANYA IJUMAA IWE NZURI ZAIDI.
http://www.box.net/shared/qagb3j3h8s
PS wa Treasury anasema eti tunakusanya sh. 5 trillion lakini tunatumia 10 trillion? Na hiyo deficit ni mikopo ya nje na misaada. Jamani wakuu hii ni kitu gani lakini?
Eti deni la nchi limepanda...