Eti tunakula zaidi ya tulichonacho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti tunakula zaidi ya tulichonacho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfamaji, Mar 5, 2010.

 1. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,571
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  PS wa Treasury anasema eti tunakusanya sh. 5 trillion lakini tunatumia 10 trillion? Na hiyo deficit ni mikopo ya nje na misaada. Jamani wakuu hii ni kitu gani lakini?

  Eti deni la nchi limepanda toka Dola 7.53 Billion by June 2009 hadi 8.25 Billion kufikia leo , yaani ndani ya miezi sita tu tumekopa mihela ya hatari .
  Jesus Christ.!!!!

  KIKWETE - lile chaguo la Mungu ndio hili.

  Yaani tunaishi kwa mikopo na misaada kwa asilimia 50%? Nasikia kufa kufa kabisaaaa. KWISHNEI
   
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,478
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Na bado...

  Huu ni ugonjwa sugu unaotusumbua sisi waswahili, kupenda kuishi maisha juu ya uwezo wetu.
   
 3. bona

  bona JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,794
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  uyu rais amewashika watanzania pabaya kwani anaumiza ktk maeneo ambayo watanzania wengi wa kawaida hawajui nini kinaendelea ndio maana anapendwa hasahasa na kinamama.

  1.inflation sio kitu kinachoonekana kwa waziwazi, lakini chini ya serikali yake inapanda kwa kasi ya ajabu, chakula sas ivi ni three times expensive kuliko alivyoingia madarakani wakati kipato kiko palepale.

  2. kushuka thamani kwa shilingi - ni kitu ambacho watanzania wengi hawakielewi, lakini shilingi inashuka kwa ''free fall'' na ii inatokana serikali kushindwa kutafuta vyanzo vya mapato kwa iyo wanaishiwa ela then wanaenda kuchapisha ela zingine ( kwani watanzania tushatangaziwaga siku ela zimeenda kuchapishwa? ) madhara yake pesa zinakua nyingi kwenye mzunguko na thaman ndio iyo inashuka.

  3. kuongezeka deni la nje - na ii pia ni watanzania wachahce wanaelewa maan ya kuongezeka deni la nje mradi hamna mgambo au polisi anayepita nyumba kwa nyumba kudai wengi wao si tatizo.

  ngoja tuone mwisho wake, tutapigika chini ya uyu jamaa mpaka tuseme iki nini uku akichekacheka kwenye tv tu!
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,834
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 180
  Ilishaandikwa humu jamvini kuwa Tanzania hatutumii Theories za Economics zilizo kwenye vitabu bali tuna model yetu tofauti na ambayo labda inaweza kuwa ni breakthrough katika somo la uchumi kama tutaweza kuendelea!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...